evangelical
JF-Expert Member
- Nov 21, 2011
- 5,989
- 9,948
Kweli kabisa mkuu. Kuna vitu havina mantiki kabisaKatika repoti ya cag itakayowasilishwa bungeni kwenye hili bunge kuna kitu alikigusia wakati anawasilisha repoti hiyo kwa Rais kuhusu serikali kugharamia vitu ambavyo CAG alivisema havina tija kwa serikali na taifa kwa ujumla.
Hiyo miradi inayofunguliwa na Mwenge siingefunguliwa na viongozi wengine kikawaida kama ma DC,wabunge, RC, VP.
Hizo gharama zinazotumika kukimbiza tu Mwenge zinawezafika 20 to 30 Milion kila wilaya na Tanzania kuna Takribani wilaya 180 x 20,000,000 =3,600,000,000 hapo hujaweka gharama za kitaifa za kuwasha na kuzima mwenge karibia bilion 5.
Leo hawa wajinga na limwenge wao wametupotezea muda na limwenge lao wametoka nalo Airport. Tulikuwa tunapita kule
Hivi linapandishwaga Ndege hili litakataka
Gharama zipi ? wewe hapo ulipo uko huru ?Huelewi gharama za kupata uhuru
Usingekuwa huru ungepost hapa?Gharama zipi ? wewe hapo ulipo uko huru ?
Kwamba mwenge ndio inalinda uhuru, mwenge unaakisi vipi gharama za kupata uhuru?Huelewi gharama za kupata uhuru.
Hujui gharama za kuulinda uhuru
Mwenge unalinda uhuru Gani kweli jitu jeusi ni nyani🤣🤣🤣🤣🤣🤣Huelewi gharama za kupata uhuru.
Hujui gharama za kuulinda uhuru
Ni Africa tu na nchi za watu masikini utaona hela zinapigwa kwa njia hiziKwa nini mradi ukikamilika usianze kutumika tu. Kupoteze pesa na muda bila sababu nzuri
Gharama ya kuupata uhuru inajulikana sana tu, lakin mwenge as symbol si relevant tena.. ikae museumHuelewi gharama za kupata uhuru.
Hujui gharama za kuulinda uhuru
Mwendazake alitaka kuususia mwenge kilichomkuta hata hakumaliza muhula wale kuna maagano nchi imeyaingia hakuna mwenye mamlaka ndani ya hii nchi anaweza kuyaacha.. usifikiri na wao wanapenda muda mwingine hawana namna na wao pia wanapenda kuishi kama wewe.Katika repoti ya CAG itakayowasilishwa bungeni kwenye hili bunge kuna kitu alikigusia wakati anawasilisha repoti hiyo kwa Rais kuhusu serikali kugharamia vitu ambavyo CAG alivisema havina tija kwa serikali na taifa kwa ujumla.
Hiyo miradi inayofunguliwa na Mwenge siingefunguliwa na viongozi wengine kikawaida kama ma DC,wabunge, RC, VP.
Hizo gharama zinazotumika kukimbiza tu Mwenge zinawezafika 20 to 30 Milion kila wilaya na Tanzania kuna Takribani wilaya 180 x 20,000,000 =3,600,000,000 hapo hujaweka gharama za kitaifa za kuwasha na kuzima mwenge karibia bilion 3 kuzima 3 kuwasha.
Huu Mwenge kila Mwaka unatafuna bilion 10 kwangu naona nazo zifanywe hazina tija
Leo hawa wajinga na limwenge wao wametupotezea muda na limwenge lao wametoka nalo Airport. Tulikuwa tunapita kule
Hivi linapandishwaga Ndege hili litakataka
Kuna miradi mingine ya hovyo sana inafunguliwa na huu mwenge just kulazimisha miradi.Kwa nini mradi ukikamilika usianze kutumika tu. Kupoteze pesa na muda bila sababu nzuri
Maagano Gani wewe acha mikwala mtu mweusi akili zeroMwendazake alitaka kuususia mwenge kilichomkuta hata hakumaliza muhula wale kuna maagano nchi imeyaingia hakuna mwenye mamlaka ndani ya hii nchi anaweza kuyaacha.. usifikiri na wao wanapenda muda mwingine hawana namna na wao pia wanapenda kuishi kama wewe.