Hoja kama hizi pelekeni facebook jamani maana mnashusha credibility ya JF. Kule facebook utakuta watu wako uchi kabisaa na ukiidondosha tu hii utapata wachangiaji wengi sana.
watu wengi wamekalili kukiss ndio moja wapo ya kukuamasisha kufanya mapenzi,lakini si kweli unaweza ukakaa na mpz wako mkakiss bila kufanya mapenzi.lakini kwa baadhi ya wabongo hawawezi.
Mdomo umeumbwa maalumu kwa kuongea, kula chakula, kunywa maji au kutemea mate na makohozi pale unapokuwa unaumwa kikohozi. Haya matumizi mengine siyo matumizi rasmi na hayana tofauti na wanaotumia sehemu ya kutoa kinyesi kwa mambo yale mengine.
<br />Ina maana wewe sio mbongo so unajiondoa kweney hilo kundi
<br />Mdomo umeumbwa maalumu kwa kuongea, kula chakula, kunywa maji au kutemea mate na makohozi pale unapokuwa unaumwa kikohozi. Haya matumizi mengine siyo matumizi rasmi na hayana tofauti na wanaotumia sehemu ya kutoa kinyesi kwa mambo yale mengine.
kiss haina mpango,
nashangaa katika foreplay watu wanakazaaaaaaaaaaana kulana madenda....wakati kny ulimi hakuna nerve endings zenye kuleta ashki ya mapenzi...so basically tunapeanaga uchafu tu.....
sawa ww umepata wa kunyonyana denda,kwan unafikili na yy hana?anae bt c unaelewa kujifanya hajui?hujapata wa kukunyonya vizuri au umekutana na vinywa vichafu wasionukia!f.y.i extra saliva that is echanged wakati wa denda reduces decay of teeth by keepin ur teeth clean na ashki huja kwakuwa mkinyonyana huku mikono inatoa support na si kama denda la njiwa la midomo tu kuirefusha
inamaana ww huwa mnatayarishana vp na mpz wako?kiss haina mpango,
nashangaa katika foreplay watu wanakazaaaaaaaaaaana kulana madenda....wakati kny ulimi hakuna nerve endings zenye kuleta ashki ya mapenzi...so basically tunapeanaga uchafu tu.....
watu wengi wamekalili kukiss ndio moja wapo ya kukuamasisha kufanya mapenzi,lakini si kweli unaweza ukakaa na mpz wako mkakiss bila kufanya mapenzi.lakini kwa baadhi ya wabongo hawawezi.
hapana cjakalili bt cc wenyewe tumeiga,sawa matumizi yake yanajulikana,bt mbona hapohapo mdomo huo huo unatumia kumnyonya mpz wako(uchi)or mpz wako kula koni?<br />
<br />
kwanza unashindwa kutofautisha KINYWA NA MDOMO,lakin pia kwa mujibu wa maelezo yako,umekalili matumizi ya hicho ulichokizungumza
ni kweli kabisa watu wengi wakianza huusiano lazima watakiss na kujipa moyo kuwa ndio wameanza huusiano.upo sawa kabisa.Duh! Kuna wakati unamtokea dem muda mrefu halafu unaishia kumsindikiza tu. Sasa siku ukipata denda hata kama ni la mia tu, unajisikia kama ndio umemaliza! Hapo ndipo ulipopata utata.
watu wengi wamekalili kukiss ndio moja wapo ya kukuamasisha kufanya mapenzi,lakini si kweli unaweza ukakaa na mpz wako mkakiss bila kufanya mapenzi.lakini kwa baadhi ya wabongo hawawezi.