A
Anonymous
Guest
Siku hizi kumekuwa na shida sana ya mitandao ya simu na inaleta kero na hasara kubwa sana kwa sisi watumiaji. Hasa mtandao wa Vodacom unakuta huwezi kupiga simu wala kutuma meseji.
Sasa najiuliza hizi hasara tunazopata wateja watafidia vipi?! Na vile vifurushi tunavyojiunga na baadae kukuta mtandao aufanyi kazi wanakata!!
Huu si wizi wanatufanyia, tunaomba TCRA na mamlaka husika zifuatilie hili tatizo.