FRJ255
Member
- Oct 11, 2024
- 5
- 6
Maeneo mengi ya Tanzania mfano Dar es Salaam na Pwani kumekuwa na ongezeko kubwa sana la wahamiaji haramu hasa watu kutoka nchi ya Malawi ambapo wameathiri sana ajira na vibarua kwa wazawa. Mfano kuna kampuni ya ulinzi ipo Dar es Salaam, 70% ya walinzi ni Wamalawi
Kuna baa na lodge, shule na mahotel mengi wafanyakazi ni Wamalawi na nyingi zipo Kawe, Mbezi beach, Tegeta, Kinondoni nk wafanyakazi wengi ni Wamalawi huku wenyeji tunakosa nafasi.
Serikali iliangalie jambo hivi maana wanaingia kwa kinyume na sheria nchini.