Biny Member Joined Sep 27, 2018 Posts 33 Reaction score 8 May 23, 2019 #1 Jamani habari zenu naulizia kwa anaefahamu nahitaji kufahamu gharama za kukodi gari aina ya mende scania muda ni wiki moja tu niifanyie kazi zangu. Dereva awe wake mwenyewe. Jee gharama zao zikoje?
Jamani habari zenu naulizia kwa anaefahamu nahitaji kufahamu gharama za kukodi gari aina ya mende scania muda ni wiki moja tu niifanyie kazi zangu. Dereva awe wake mwenyewe. Jee gharama zao zikoje?
Hazchem plate JF-Expert Member Joined Feb 25, 2011 Posts 11,048 Reaction score 15,465 May 23, 2019 #2 Iyo gari kwa siku inalaza 250000/=