mabwana JF-Expert Member Joined Feb 15, 2012 Posts 307 Reaction score 316 Mar 10, 2012 #1 wanajamii nimenunua machine za restaurant kwa $ 10 000 na custom nimelipai kama 3m nia yangu ni kukodisha kwa malipo ya kila mwezi , dhamana ya machine inaitajika kama ni nyumba au pesa je kuna mawazo yoyote kutoka kwa wanajamii
wanajamii nimenunua machine za restaurant kwa $ 10 000 na custom nimelipai kama 3m nia yangu ni kukodisha kwa malipo ya kila mwezi , dhamana ya machine inaitajika kama ni nyumba au pesa je kuna mawazo yoyote kutoka kwa wanajamii
Makenya Member Joined Jan 20, 2011 Posts 33 Reaction score 3 Mar 11, 2012 #2 Ndugu mm nina sehemu nataka nifungue restaurant ssa its good kama rukikutana, nione hivyo vitu mkubwa my no 0655 747445
Ndugu mm nina sehemu nataka nifungue restaurant ssa its good kama rukikutana, nione hivyo vitu mkubwa my no 0655 747445