0787616529
New Member
- Jun 7, 2022
- 1
- 1
EeehhKwa ufupi ardhi ya huko Tanga ni nzuri Sana tena mno ila jirahidi uwe na kinga huko uchawi baadhi ya sehemu ni noma ukijiweka vizuri itakuwa safi
Acha dhana hizo za uchawi km ataenda kwa heshima na kufanya kilichompeleka hakuna atakae mgusaKwa ufupi ardhi ya huko Tanga ni nzuri Sana tena mno ila jirahidi uwe na kinga huko uchawi baadhi ya sehemu ni noma ukijiweka vizuri itakuwa safi
Maeneo gani mazuri kwa kilimo cha maharage huko kilindi?Kwa ufupi ardhi ya huko Tanga ni nzuri Sana tena mno ila jirahidi uwe na kinga huko uchawi baadhi ya sehemu ni noma ukijiweka vizuri itakuwa safi
Asilimia zaidi ya 90 ardhi ya kule inafaa ipo Vizuri sana hakikisha unapata ardhi isiyo na mgogoroMaeneo gani mazuri kwa kilimo cha maharage huko kilindi?
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Nenda Gombero ukalime maharageMaeneo gani mazuri kwa kilimo cha maharage huko kilindi?
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Maeneo gani mazuri kwa kilimo cha maharage huko kilindi?
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
acha dhana hizo za uchawi km ataenda kwa heshima na kufanya kilichompeleka hakuna atakae mgusa
Hivi kumbe sehemu yenye wachawi ukienda Kwa Heshima na kufanya kilichokupeleka hawakufanyi kitu....! Hawa wachawi wastarabu hivi wanapatikana mkoa gani mkuu?acha dhana hizo za uchawi km ataenda kwa heshima na kufanya kilichompeleka hakuna atakae mgusa
Ase jamaa unapatikana wapi mbona umetiririka sana, nami nlikwepo huko well said.Ngoja nikusaidie...
Kuhusu maharage ni kweli Kilindi kunafaa sana
Kuhusu mahindi pia ni kweli Kilindi kunafaa lakini si sawa na maharage
Kuhusu gharama;
[emoji979]Kukodi shamba ni elfu 30-40 kwa heka (mwaka huu ilikuwa 40)
[emoji979]Trekta inalima kwa elfu 30-40 heka, (mwaka huu ilikuwa 40)
[emoji979]Wapiga mashimo heka wanafanya elfu 15-20 (mwaka huu walifanya 20)
[emoji979]Wapandaji wanatoza elfu 5-10 kwa heka (mwaka huu watu wameshikwa elfu 10)
[emoji979]Bei ya gunia ni sh laki 2 na nusu njano (kopo 100 ndio gunia ambapo kopo ni kikombe fulani cha bati/rangi kinajazwa mpaka mlima- hawatumii kilo)
[emoji979]Mahindi kwa sasa gunia ni elfu 75 na kwa maeneo ya bara ni mpaka elfu 95 (gunia la mahindi kwa bara ni debe sita yaani ndoo kubwa iliyojazwa mpaka msonge/mlima-hawanaga mambo ya kilo)
[emoji979]Mahindi (kulima) ni kama nilivyoelezea hapo juu maharage ila yenyewe yanapungua gharama kwakuwa wanapanda kwa kutupia mbegu moja kwa moja wakati trekta inalima
[emoji979]Kuhusu maeneo kama nimekuelewa swali lako basi ni kwamba ukitaka kulima maharage chagua maeneo mawili tofauti yenye hali ya hewa tofauti (hiyohiyo Kilindi kuna sehemu wanaita NGULU/NGUU yenyewe orijino na kuna sehemu wanaita BARA)
[emoji979]Maeneo ya Nguu ya Bara ni kama vile maeneo ya mpakani na Kiteto mfano Baina, Kibrashi, KwaLebali, Kweditinga, Songe kwa upande wa Magharibi
[emoji979]Maeneo ya Nguu isiyo ya Bara yanayotoa Maharage ni kama vile Nkalanga, Chala, Huyaga, Sakandala, Kwedisasu
[emoji979]Mahindi yenyewe yanakubali sana maeneo ya bara kwenye matambarare (Kwa wao unaposema bara ni Kilindi ya mpakani upande wa Magharibi, Kiteto yote, baadhi ya maeneo ya Morogoro, maeneo ya Dodoma na sehemu zinazofuata kuelekea Magharibi)
[emoji979]Mambo mengine sijafafanua kwakuwa umesema wewe ni mkulima utakuwa unaelewa moja kwa moja. Mfano swala la maharage kwa mashamba ya upande mwingine wanawahi kuvuna na wengine wanachelewa... kadhalika mahindi kule bara wanapanda mara moja tu (dec/jan/feb) wakati upande ule mwingine wanapanda hata mara mbili (sept/oct/nov na dec/jan/feb)
[emoji979]Maharage kwa asilimia kubwa kilimo kinachanganyia mwezi February (yaani mwezi wa pili ndio wengi wanapanda)
[emoji979]Nimeeelezea zaidi kwa kubase maeneo ya Songe, Mafisa, Kibrashi...na Gombero kwa mbaali kwasababu ndio maeneo niliyo na uzoefu nayo
Nadhani nimejitahidi kufafanua kama kuna swali uliza... Swala la uchawi alilosema mjumbe hapo ni upuuzi tupu halina mashiko yoyote wewe nenda kapambane!
Mku hbr za huko.Ngoja nikusaidie...

Mku hbr.Habari za saa hizi wadau.
Mimi ni mkulima mdogo wa maharage katika wilaya ya Simanjiro mkoa wa Manyara.
Ninapenda kuulizia fursa ya kukodi shamba la kulima maharage na mahindi mkoani Tanga wilaya kilindi. Kwa wale wenye kufahamu jografia ya eneo.
Nawaombeni ushauri na mwongozo wenu. Namna ya kupata shamba na muda mzuri wa kuotesha.
Asanteni.
Asante kwa maelezo yaliyotukuka na ubarikiwe sana..Swali je Heka moja ya maharage napata magunia mangapi kwa uzoefu wako?.AsanteNgoja nikusaidie...

Mkuu tuliunge pamoja na Mimi Niko interested.Habari za saa hizi wadau.
Mimi ni mkulima mdogo wa maharage katika wilaya ya Simanjiro mkoa wa Manyara.
Ninapenda kuulizia fursa ya kukodi shamba la kulima maharage na mahindi mkoani Tanga wilaya kilindi. Kwa wale wenye kufahamu jografia ya eneo.
Nawaombeni ushauri na mwongozo wenu. Namna ya kupata shamba na muda mzuri wa kuotesha.
Asanteni.
Ndugu yangu inaonyesha dhairi maeneo ya Tanga unayafahamu na kuyaelewa.Ngoja nikusaidie...
Kuhusu maharage ni kweli Kilindi kunafaa sana
Kuhusu mahindi pia ni kweli Kilindi kunafaa lakini si sawa na maharage
Kuhusu gharama;
[emoji979]Kukodi shamba ni elfu 30-40 kwa heka (mwaka huu ilikuwa 40)
[emoji979]Trekta inalima kwa elfu 30-40 heka, (mwaka huu ilikuwa 40)
[emoji979]Wapiga mashimo heka wanafanya elfu 15-20 (mwaka huu walifanya 20)
[emoji979]Wapandaji wanatoza elfu 5-10 kwa heka (mwaka huu watu wameshikwa elfu 10)
[emoji979]Bei ya gunia ni sh laki 2 na nusu njano (kopo 100 ndio gunia ambapo kopo ni kikombe fulani cha bati/rangi kinajazwa mpaka mlima- hawatumii kilo)
[emoji979]Mahindi kwa sasa gunia ni elfu 75 na kwa maeneo ya bara ni mpaka elfu 95 (gunia la mahindi kwa bara ni debe sita yaani ndoo kubwa iliyojazwa mpaka msonge/mlima-hawanaga mambo ya kilo)
[emoji979]Mahindi (kulima) ni kama nilivyoelezea hapo juu maharage ila yenyewe yanapungua gharama kwakuwa wanapanda kwa kutupia mbegu moja kwa moja wakati trekta inalima
[emoji979]Kuhusu maeneo kama nimekuelewa swali lako basi ni kwamba ukitaka kulima maharage chagua maeneo mawili tofauti yenye hali ya hewa tofauti (hiyohiyo Kilindi kuna sehemu wanaita NGULU/NGUU yenyewe orijino na kuna sehemu wanaita BARA)
[emoji979]Maeneo ya Nguu ya Bara ni kama vile maeneo ya mpakani na Kiteto mfano Baina, Kibrashi, KwaLebali, Kweditinga, Songe kwa upande wa Magharibi
[emoji979]Maeneo ya Nguu isiyo ya Bara yanayotoa Maharage ni kama vile Nkalanga, Chala, Huyaga, Sakandala, Kwedisasu
[emoji979]Mahindi yenyewe yanakubali sana maeneo ya bara kwenye matambarare (Kwa wao unaposema bara ni Kilindi ya mpakani upande wa Magharibi, Kiteto yote, baadhi ya maeneo ya Morogoro, maeneo ya Dodoma na sehemu zinazofuata kuelekea Magharibi)
[emoji979]Mambo mengine sijafafanua kwakuwa umesema wewe ni mkulima utakuwa unaelewa moja kwa moja. Mfano swala la maharage kwa mashamba ya upande mwingine wanawahi kuvuna na wengine wanachelewa... kadhalika mahindi kule bara wanapanda mara moja tu (dec/jan/feb) wakati upande ule mwingine wanapanda hata mara mbili (sept/oct/nov na dec/jan/feb)
[emoji979]Maharage kwa asilimia kubwa kilimo kinachanganyia mwezi February (yaani mwezi wa pili ndio wengi wanapanda)
[emoji979]Nimeeelezea zaidi kwa kubase maeneo ya Songe, Mafisa, Kibrashi...na Gombero kwa mbaali kwasababu ndio maeneo niliyo na uzoefu nayo
Nadhani nimejitahidi kufafanua kama kuna swali uliza... Swala la uchawi alilosema mjumbe hapo ni upuuzi tupu halina mashiko yoyote wewe nenda kapambane!
ni kweli anachoongea uchawi upo waziwazi hilo eneo kama ukijitia mjuaji wa kufwata mambo ya watu kama huna shida na ya watu hamna tabu kabisaAcha dhana hizo za uchawi km ataenda kwa heshima na kufanya kilichompeleka hakuna atakae mgusa