karma alvin
Member
- Jan 9, 2013
- 51
- 8
habari wana jf. hiki ni kitu gani; nikienda kukojoa napata mauvivu mkojo ukikaribia kuisha pamoja na damu kutoka. je hili ni tatizo gani? msaada wenu tafadhali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
UTI
inatokana Na kufanya Ngono zembe na Mwanamke mwenye wanaume zaidi ya mmoja,
pia Mkojo usiotoka kibofuni, ukikaa sana unapara UTI, so unatakiwa uwe mkojoaji wa mara kwa mara kukwepa UTI
Vyoo vya Umma hasa vile vya kukalia