Kukojoa kwenye kopo...kopo..ehh ndio kopo

majuto mperungu

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2012
Posts
394
Reaction score
118
kuna tabia ambayo iko sana kwenye maeneo ya vijijini na sehemu ambayo wanaishi kwenye nyumba ambazo hazina vyoo vya ndani...ikifika saa nne anakojoa mtoto kwenye kopo..ikifika saa sita anakojoa dada..ikifika saa nane saa tisa anakojoa BABA...ndio baba na saa tisa..saa kumi anakojoa MAMA kwenye kopo hilo hilo moja alafu ikifika asubuhi mama anatoa kopo na kwenda kumwaga mikojo hiyo..... SWALI LANGU NI JE....kuna matatizo yoyote kiafya kukojoa kwenye kopo moja??????
 
Kukojoa kwenye kopo ni kama kukojoa tu chooni, kama unaweza kukojoa kwenye kopo na kuhakikisha kuwa mkojo wa kwenye kopo hautakurukia na kurudi kwako basi upo salama,lakini kama ukikojoa mikojo uliyomo kwenye kopo inakurudia kwa kukurukia jua bwana kama kuna magonjwa ya kuambukiza juwa unayo
 
Kwa hiyo ndiyo tabia yenu familia moja kukojolea kopo moja?
 
Kukojoa kwenye kopo ni kama kukojoa tu chooni, kama unaweza kukojoa kwenye kopo na kuhakikisha kuwa mkojo wa kwenye kopo hautakurukia na kurudi kwako basi upo salama,lakini kama ukikojoa mikojo uliyomo kwenye kopo inakurudia kwa kukurukia jua bwana kama kuna magonjwa ya kuambukiza juwa unayo
nimekuelewa lakini mara nyingi makopo hayo yanakua madogo sana mtu hawezi kuambukizwa pangusa kweli coz mabekitatu mule mule mh ni hatari!
 
Hiyo mada mkuu inaniusu sana maana ata mm nafanya sana ako kamchezo
 
Back
Top Bottom