majuto mperungu
JF-Expert Member
- Jul 20, 2012
- 394
- 118
kuna tabia ambayo iko sana kwenye maeneo ya vijijini na sehemu ambayo wanaishi kwenye nyumba ambazo hazina vyoo vya ndani...ikifika saa nne anakojoa mtoto kwenye kopo..ikifika saa sita anakojoa dada..ikifika saa nane saa tisa anakojoa BABA...ndio baba na saa tisa..saa kumi anakojoa MAMA kwenye kopo hilo hilo moja alafu ikifika asubuhi mama anatoa kopo na kwenda kumwaga mikojo hiyo..... SWALI LANGU NI JE....kuna matatizo yoyote kiafya kukojoa kwenye kopo moja??????
acha shobo unajifanya hujui wakati ndo tabia mliyikua mkiifanya kule kwa bibi yako....au wewe ni wakishua nini?Kwa hiyo ndiyo tabia yenu familia moja kukojolea kopo moja?
nimekuelewa lakini mara nyingi makopo hayo yanakua madogo sana mtu hawezi kuambukizwa pangusa kweli coz mabekitatu mule mule mh ni hatari!Kukojoa kwenye kopo ni kama kukojoa tu chooni, kama unaweza kukojoa kwenye kopo na kuhakikisha kuwa mkojo wa kwenye kopo hautakurukia na kurudi kwako basi upo salama,lakini kama ukikojoa mikojo uliyomo kwenye kopo inakurudia kwa kukurukia jua bwana kama kuna magonjwa ya kuambukiza juwa unayo
kwelieh unajifil vipi kukojoa kwenye kopo moja na ........ yako malizia mwenyewe unakojoaga na nani?Hiyo mada mkuu inaniusu sana maana ata mm nafanya sana ako kamchezo