Kukojoa mara baada ya kufika kibo

Kukojoa mara baada ya kufika kibo

kalikumutima

Senior Member
Joined
Oct 9, 2014
Posts
147
Reaction score
46
Nimepatwa na hofu hivi karibuni ninapokuwa nimekojoa mbegu za kiume baadae unafuata mkojo je tatizo hili linatokana na nini? Imetokea Mara mbili kwa interval ya wiki tatu
 
DUH kaka pole, na je ukikutana na mwanamke unaanza kutoa mbegu au mkojo?
 
Ni kawaida mkojo kuja baada ya kumaliza tendo ili kuondoa mabaki ya mbegu kwenye kibofu na kama umechunguza vzr pale unapoanza mkojo kutoka huwa mzito then unafuata wa kawaida
 
mkuu, mbegu hutunzwa kwenye epididymis sio kwenye kibofu.
 
Ni kawaida mkojo kuja baada ya kumaliza tendo ili kuondoa mabaki ya mbegu kwenye kibofu na kama umechunguza vzr pale unapoanza mkojo kutoka huwa mzito then unafuata wa kawaida

Naona biology ilikupita pembeni kidogo. pole sana
 
Kawaida haitakiwi iwe hivo ... zifanyie mazoezi muscles pelvic region .. kegal exercise inasaidia ...
 
Nimepatwa na hofu hivi karibuni ninapokuwa nimekojoa mbegu za kiume baadae unafuata mkojo je tatizo hili linatokana na nini? Imetokea Mara mbili kwa interval ya wiki tatu

Sema unatoa mbegu sio unakojoa mbegu, alafu bila shaka ni baada ya tendo la ndoa, maana usije ikawa ni baada ya kupiga nyeto, maana hiyo ni case nyingine, kwa case yako ilo ni tatizo maana ni jambo ambalo sio normal,nenda hospital kachunguzwe kibofu.
 
Back
Top Bottom