Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakumbuka nilipokua mtoto niliambiwa ukikojoa barabarani/njiani usipoutemea mate mkojo, akipita mwanamama mwenye mimba akauruka ule mkojo nanihii yako itavimba.
Havina uhusiano zaidi ya kuwa anaevitowa ni huyohuyo binaadamu. Mkojo ni waste na mate ni kitu kinachohitajika.wadau naomba mnieleze uhusiano uliopo kati ya mate na mkojo, maana watu wengi (hasa wanaume) hutemea mate mkojo walioukojoa wao wenyewe (hasa pale tendo hilo la kukojoa linapofanyikia pembeni ya barabara).