Kukojoa.....!

Shagiguku

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2010
Posts
409
Reaction score
138
wadau naomba mnieleze uhusiano uliopo kati ya mate na mkojo, maana watu wengi (hasa wanaume) hutemea mate mkojo walioukojoa wao wenyewe (hasa pale tendo hilo la kukojoa linapofanyikia pembeni ya barabara).
 
Hamna uhusiano wowote, ni mazoea tu ya watu.
 
Ni kielelezo cha jamii iliyobobea katika mambo ya kishirikina
 
Nakumbuka nilipokua mtoto niliambiwa ukikojoa barabarani/njiani usipoutemea mate mkojo, akipita mwanamama mwenye mimba akauruka ule mkojo nanihii yako itavimba.
 
Nakumbuka nilipokua mtoto niliambiwa ukikojoa barabarani/njiani usipoutemea mate mkojo, akipita mwanamama mwenye mimba akauruka ule mkojo nanihii yako itavimba.

duu inaonekana kwenu wachawi kibao enheee....
 
wadau naomba mnieleze uhusiano uliopo kati ya mate na mkojo, maana watu wengi (hasa wanaume) hutemea mate mkojo walioukojoa wao wenyewe (hasa pale tendo hilo la kukojoa linapofanyikia pembeni ya barabara).
Havina uhusiano zaidi ya kuwa anaevitowa ni huyohuyo binaadamu. Mkojo ni waste na mate ni kitu kinachohitajika.
 
itabidi tuanzishe jukwaa la maswala ya imani zisizo za dini!!!
anyway mkuu hakuna uhusiano, ni kama kusema ukiwa na mimba usile mayai, zilikuwa na lengo la kuzuia watu kukojoa kwa barabara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…