Hivi ile sheria iliyotungwa kumkandamiza mwanaume anapomkonyeza mwanamke ilikuja ishia wapi?
Wadada mtusaidie je, nikweli kwamba mwanaume akikukonyeza anaamsha hisia/mshawasho wa kimapenzi?
Nilipokuwa ughaibuni ....kwenye nchi ile kukonyezana ilikuwa jambo la kawaida mno!!!!!