Kukopesha pesa.

GABOO

Senior Member
Joined
Apr 11, 2011
Posts
118
Reaction score
12
Bila shaka wazima wote,nina milioni moja ambayo nataka kuanza kukopesha watu,mikopo hiyo na mpango wa kukopesha wanajamii wanaonizunguka,nataka kujua ni riba asilimia ngapi niweke,kiwango cha chini cha mkopo kikiwa 50000,pili muda wa urudishaji niupangeje?
 
mtu wangu utapata pressure!ka milion kako katateketea!manake waswahili kukopa harus kulipa matanga!ila kila la heri mkuu!ila ujiandae kugonbana na wadeni wako.
 
kwa mtaji huo,kopesha mama lishe,wauza matunda ,na wafanyabiashara wadogo wadogo,
usikopeshe waajiriwa
usikopeshe mabishoo
riba weka 35% maximum ya mkopo ni laki2,mkopo ni mwezi hadi mwezi.akishindwa kulipa Alete riba.

kuna jamaa amefanya hivyo na amefanikiwa na biashara ni nzuri sana
 
Hiyo biashara ni haramu. Dini zote zinakataza riba.
 
usijaribu ndugu
biashara hiyo ni haramu,nimewai kufanya nikawanapata faida freshi lakini kilichonipata ni pigo kama si adhabu toka kwa mungu
 
pole, kimekupata nini?

nilijikuta fedhamile sifanyii cha maana kila nilipokua nikijaribu kuwekeza inafiako mwisho nami nikawa kama wale niliokua nawakopa,yaan nakopa kwa liba kwa kuweka dhamana kisha mipango inaenda vibaya na dhama inaondoka.
Yaani we acha tu mpaka nilipokuja kustuka tatizo nini nilishachelewa sana
kwa ushauri usijaribu na usikope namna hiyo.vitabu vya dini vyote vinakataza bihashara hiyo kama uniamini jaribu utanipa majibu siku za usoni,mwanzo utanza vizuri lakini mwisho utaniambia
 
Yuko friend anafanya this business in a rude way kidogo but simlaumu kwani that is how tz we are, hatulipi madeni. Model yake ni kuwa wewe unakopa let say 100,000.00 unasaini mkataba kuwa within one month utarejesha na inasomeka kuwa ulikopa 130,000.00 hivyo tayari pana riba hapo ya 30%. na kwa maana hiyo hata TRA amewakwepa hapo. Then you have another contract ikiwa imeambatanishwa na either hati ya kiwanja/ nyumba au kadi ya gari etc. Inasomeka Mimi so and so nikiwa na akili yangu Timamu bila kushurutishwa leo tarehe... (tarehe mliyokubaliana unarejesha mkopo) nauza mali yangu.... kwa tahamani ya 130,000.00.
Hapo ndo patamu jamaa anakula vichwaa vya waswahili maana urejeshaji ni issue
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…