Kukopeshana bila maandishi

nikorasi

New Member
Joined
Oct 28, 2018
Posts
2
Reaction score
0
habarin wanajamvi Msaada kisheria

Sheria inasemaje kuhusu kumkopesha mtu hela paspo maandishi kisha anakuzurumu
 
habarin wanajamvi Msaada kisheria

Sheria inasemaje kuhusu kumkopesha mtu hela paspo maandishi kisha anakuzurumu
Yaani hapo kukulipa apende mwenyewe tu,, hata Mungu anasisitiza ktk Quran kuwa mnapokopeshana,,basi wawepo mashahidi na waandishi
 
habarin wanajamvi Msaada kisheria

Sheria inasemaje kuhusu kumkopesha mtu hela paspo maandishi kisha anakuzurumu
Sheria inakusisitiza kumuendea kwa Sangoma mdai wako pindi atakapoanza firigisu.

Asante
 
Kukopeshana au kukabidhiana mali ni lazima iwe kimaandishi na mashahidi... It is enforceable contract and valid, nikimaanisha ni makubaliano yanayo kidhi matakwa ya kisheria punde kunapotokea sintofahamu sheria itakusaidia.. Mimi sijasomea sheria ila business law imeniokoa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…