Kukopeshana na kudaiana kwenye mapenzi au urafiki


Agreed.

 
Last edited by a moderator:
Wadau mnanikumbusha kisa cha rafiki yangu kumkopesha Boyfriend wake 2008,na hajamlipa mpaka leo 2011.Bahati mbaya 2010 waliachana.Shosti wangu kapigania pesa zake mpaka amemshukuru Mungu Amezisamehe namwonea huruma sana.
Binafsi nimejifunza kutoka kwake sikopeshi mtu anayeitwa boyfriend au girlfriend ni hatari.
 
1. Unamkopesha mpenzi wako kwa ajili ya biashara. Hebu muulize vizuri, unamkopesha yeye au unakopesha biashara? Biashara na mmiliki ni vitu tofauti hapo.
2. Kuhusu marafiki kukopa kweli inasumbua sana kuanza kumdai mtu. Hasa nyie wanaume mkikopeshwa na wanawake ndio mnasumbua sana kulipa. Mi nafikiri ikitokea rafiki yako hataki kukulipa na umemsumbua sana we mwache. Usivunje urafiki ila hiyo ndio itakuwa mwisho wa kumkopesha . Kuna rafiki yangu sahv hata awe na shida hawezi nikopa maana nilishamwambia iwe mwisho kwasababu ya ugumu wake wa kulipa madeni.
 
Mkuu kweli sometimes ukiwa heri kuwa na msimamo kama huo tu,mana unaweza ukatapeliwa vibaya
 
Hunsninyo 1. nadhani hapo unamkopesha mpenz mana yeye ndo atakayelipa.2.watu kama hao lazima akiona unamdai wavunje urafiki wenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…