Kukopi Files kutoka HDD/SSD moja kwenda nyingine kwa gharama nafuu sana

Kukopi Files kutoka HDD/SSD moja kwenda nyingine kwa gharama nafuu sana

mkanyikivega

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2016
Posts
215
Reaction score
224
Angalia scenarios zifuatazo 👇:
  1. Una Hard disk (HDD) ambayo unatumia kwenye computer lakini unataka ubadilishe utumie Solid state drive (SSD) kwa sababu mbalimbali kama performance, lakini unataka uhamishe kila kitu kilichomo kwenye HDD ya zamani kuanzia OS yenyewe, programu zote na files au baadhi ya hivyo.
  2. Au unataka ubadilishe HDD yako unataka uweze yenye storage kubwa zaidi lakini bado unataka uhame na files zako zote pamoja na OS.
Hapa ugumu unakua kwenye kuhamisha file moja moja and especially os itakua lazima u boot upya hio DISK yako ya pili 🤢. Na pia inaweza kupelekea data loss 😰. LAKINI hapa kuna suluhu 🤗, utaweza kuhamisha kila kitu chako unachotaka kwa gharama ya 10,000 per disk ndani ya muda uziozidi dakika 30 😋.

Confidentiality ya data iko guaranteed 100% kwa maana wakati wa kuhamisha file explorer ya OS haitumiki kabisa.🔒 👍

Pia, unaweza kuamua kama na disk partition ya disk mpya iwe sawa na hiyo disk ya mwanzo .


Software inayotumika ni NTI ECHO, unaeza kui search au unaweza fungua hii link http://www.nticorp.com/NTI-Echo.html

If interested nicheki inbox au nicheki telegram A man Well

kwa ambae hatataka kufungua link nime attach na baadhi ya content zilizoko kwenye site ya software
1599440118670.png


1599440034271.png
 
Ambayo haisomi kuna ujanja?
 
Back
Top Bottom