kukosa admission letter

genius92

Member
Joined
Aug 29, 2012
Posts
16
Reaction score
1
nimekosa admission letter lakini jina langu chuoni lipo..nini maanake hii?
 
mie nimekwenda udsm jina likawa halipo nikaambiwa niende tarehe 29 tunapo fungua.niliwahi kuogopa folen lakn duh
 
kama jina umeliona wala usiwe na wasiwasi chuo kikifunguliwa issue hizo zinatatulika sana kama uchaguliwa mlimani nenda ofisi za dean of students /panaitwa yombo karibu na HALL 7 ukifika mlimani uliza ofisi za dean utaonyesha .kwa watu wa vyuo vingine uliza ofisi ya dean au registar
 

ahsante sana brother...ubarikiwe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…