Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
subiria second isipotoka subiria mwakani
kwa kweli no jamani. . .nimeapply round ya kwanza pamoja na kuwa naqualify for kozi kama nne ckupata yeyote....
nomeaaply sercond round lakini mpaka leo kimya...empty. . .eti IN PRORESS . . .asa ninafanyeje tena na vyuo vimestart kuOpen???!!!:frusty:
ulifata process vizuri namna ya ku-apply?? nimeuliza kwa sababu nimeona mpangilio wako wa lugha ulivyo mbovu! BTW fatilia TCU na ikiwezekana jaribu kwenda direct kwenye baadhi ya vyuo kuomba.