Kukosa chuo

Kukosa chuo

Habari wanajamvi, mie nina duku duku, kuna wenzangu wananiambia ni muhimu kujaza fomu ya tcu haraka , eti ukichelewa kujaza fomu ya tcu kuna hatari ya kukosa ulipoomba......naomba mnijuze tafadhali maana kwa sisi watoto wa mkulima pesa inatufanya tuchelewe..

kama una atleast div2 tena sayansi usihofu utapata ila kama div yenyewe ya kuombea kaz huku umepga magoti jitahid uwah out of that watakutupa huko panapoitwa teku
 
Umejaribu morogoro muslim university?
 
Mkuu Steve junior kuwahi muhimu sana tena sana sasa chelewa uone kama hawatakutupa TEKU.
 
Last edited by a moderator:
yeah ni kweli kabisa coz kuna first come first served soo wahi kujaza ili upate chuo unachokipenda chaguo lako la kwanza laa sivyo utajikuta uko........
 
yeah ni kweli kabisa coz kuna first come first served soo wahi kujaza ili upate chuo unachokipenda chaguo lako la kwanza laa sivyo utajikuta uko........
WAHI UKICHELEWA UTAJIKUTA UMETUPWA HUKO UDOM:behindsofa::behindsofa::behindsofa:
 
Back
Top Bottom