MdengestanfromCuba
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 629
- 658
Habari wanajamvi, mie nina duku duku, kuna wenzangu wananiambia ni muhimu kujaza fomu ya tcu haraka , eti ukichelewa kujaza fomu ya tcu kuna hatari ya kukosa ulipoomba......naomba mnijuze tafadhali maana kwa sisi watoto wa mkulima pesa inatufanya tuchelewe..
Huwez kosa chuo kama unapointh zinazohitajka!
Umejaribu morogoro muslim university?
Mkuu Steve junior kuwahi muhimu sana tena sana sasa chelewa uone kama hawatakutupa TEKU.
WAHI UKICHELEWA UTAJIKUTA UMETUPWA HUKO UDOM:behindsofa::behindsofa::behindsofa:yeah ni kweli kabisa coz kuna first come first served soo wahi kujaza ili upate chuo unachokipenda chaguo lako la kwanza laa sivyo utajikuta uko........