Kiwalani finest
Member
- Jul 6, 2024
- 97
- 72
MTU AU KIONGOZI MWENYE KUILETEA KEJELI ELIMU, MTU HUYO ANAKUWA NA CHEMBE CHEMBE HAI ZA KISHETANI
MADHARA YAKUKOSA ELIMU SAHIHI YAMEPELEKEA WATU WENYE ROHO MBAYA KUISHI HAPA DUNIANI WAKIWA NA RAHA KAMA WAKO PEPONI KWA SABABU YA UJINGA WA WATU WALIO WENGI KUENDEKEZA KUJIITA MACHAWA
Tusome Kitabu Cha kanuni ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi ya 1978 toleo la 2022 kwa Mujibu wa katiba ya Chama Cha Mapinduzi sehemu ya nne uk 144 ibara 125(1)(a) inayochagiza kufanya masahihisho kwenye uk ( iii) wa kanuni ya Uvccm inayotaja ibara 124(1)(a) na kuifanyia kanuni kusomeka kimakosa hapo.
Tuisome Sasa Kanuni uvccm uk 14 ibara 14(1)(2) uk 15-16 ibara 16(4)(6)
Tusome Kitabu Cha kanuni za Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi Tanzania za Mwaka 2022 (UWT) uk 03-04 ibara 10( f) uk 06 ibara 13(c). Tusome Kitabu Cha kanuni za Umoja wa Wazazi Tanzania 1978 toleo 2022 ilivyoundwa kwa Mujibu wa katiba ya CCM 1977 toleo 2022 ibara 125(1)(c). Tusome kanuni ya Wazazi uk iv kifungu Cha 02 uk v kifungu cha 08, uk 03-04 ibara 09(5) uk 06 ibara 14(3)(4) Mwisho wa kunukuu
Kutokusoma ni Shida na janga kuu la kidunia. Tunapaswa kuwa Wacha Mungu kwa kujibidiisha kusoma na kuwa na Elimu nyingi ili kuweza kumuhimidi Bwana. Haki za Binaadamu tunaopaza sauti kuwatetea haki zao zipo ndani ya vitabu.
Nyakati tulizomo
Tumefikia kufuru kubwa na mbaya ya kuzizika na kuzifukia haki za watu kwa tabia zetu mbaya za kuanza kuchukuwa watu wasiokijuwa Chama au idara ya Serikali kuwakabidhi Madaraka ya kuwaongoza wanajuwa Chama na idara za Serikali Kama nionavyo katika Ulimwengu wa kiroho huko ndotoni
Mtu asiyejuwa lolote awezaje kuwa na tija kwa mtu anayejuwa Jambo analoelekezwa na mtu asiyejuwa ila Mwenye cheo.
Kwa mtindo Huu Hapa hatonyeshi Kama kweli tuna Nia ya kusaidia nchi Elimu ni Jambo la kiroho. Tunapowaona Baadhi ya Viongozi wakilazimisha watu waongozwe na Viongozi Wasio na Elimu tujuwe Viongozi hao ni Makafir na walishatengwa na Mwenyezi Mungu kwa kutokujuwa majikumu Yao kuhusu Uwajibikaji.
Tukisoma Qur can Tukufu Juzuu 30 Suratul Alaq. Inatusimulia Basi siku moja alipokuwa katika pango la Jabal hilaal karibu na Macca katika kuabudu Mara alimtokea Malaika akamuita Ewe Mohammad Mimi ni Jibril
Na Wewe ni Mtume wa Mwenyezi Mungu kwa viumbe Kisha akamuambia Soma
Mtume akamjibu Mimi si msomaji (Maana sijuwi kusoma), Jibril akamuambia Tena Soma Mtume akajibu vile vile Hata Mara tatu Ndipo alipomsomea Aya hizi tangu Aya 1 mpaka 5 na Aya hizi ndizo za kwanza kushuka katika Qur aan. Soma kwa Jina la Mola wako aliye umba. Amemuumba Mwanaadamu kwa pande la Damu.
Soma na Mola wako ni karimu saana Ambaye amemfundisha (Binaadamu ilimu zote hizi kwa wasita ( msaada) wa kalamu (zilizo andika vitabu watu wakapata Elimu) Amemfundisha Mwanaadamu chungu ya Mambo aliyokuwa hayajuwi. Mwisho wa kunukuu
Tukisoma Biblia Takatifu Mithali 4:13 mwandiko Matakatifu yanatueleza Mkamate saana Elimu. Usimwache aende zake Mshike Maana Yeye (Elimu ) ni uzima wako. Mwisho wa kunukuu Watu Zama hizi hatusomi. Tumejiweka rehani kwa watu wenye fedha na vyeo waliotugeuza Vikaragosi Vibaraka Na Vijibwa
Mtu Mwenye Elimu tunamfanya Adui.
Na mtu asiye na Elimu Akiwa na fedha ndiyo tunamuona mtu wa maana tunapoteza muda kujikombakomba kwake tunaacha kujielimisha kuujuwa Ukweli. Ndiyo Maana tuna maisha magumu kwa sababu ya Ujinga hata was kuwachukia watu wenye Elimu Ila wenye Nia njema na Sisi. Sisi tunawaza mkate wa leo hatuangalii kesho. Yetu ndiyo maana tunaangamizwa hata kwa vile vitu vilivyo haki yetu kuhoji .
Mtu akikaidi Maelekezo ya Mwenyezi Mungu. Mungu naye humuacha ili ajionee madhara yatokanayo na ukaidi.
Tumekaidi kutokusoma ilani katiba Kanuni miongozo na Taratibu. Tunategemea wale tunaojikomba kwao ndiyo wasome watueleze wao. Ndiyo maana na wao wanajitamkisha uongo wakiwa hawasemi Ukweli halisi wa maandiko hayo ili Sisi tuzidi kuishi maisha Duni Kama tuko Dampo .
Biblia Takatifu Hosea 4:6 Maandiko Matakatifu yanatueleza Watu Wangu wanaangamizwa kwa kukosa Maarifa .
Kwa kuwa Wewe umeyakataa Maarifa, Mimi nami nitakukataa Wewe. Mwisho wa kunukuu. Tukisoma Kitabu Cha katiba ya CCM 1977 toleo 2022 ibara 5(4) tunapata idhini ya kusoma Kitabu Cha Nukuu za Kiswahili za Mwl Nyerere uk 148. Mwl Julius Kambarage Nyerere Aliwahi kunukuliwa akisema. Elimu ni Kama mlima mkubwa unaofika Mawinguni
Kila unavyopanda ndivyo unavyoona vizuri Zaidi upeo wa macho yako. Tusipo azimia kujielimisha (kusoma) tutaachwa nyuma. Tena Uhuru wetu utategemea tu huruma za watu wengine na Mataifa mengine .
Siyo uwezo wetu Sisi wenyewe. Mwisho wa kunukuu. Leo hii Mfano TU Nameomba saana nikutanishwe na Viongozi wa kitaifa ili kuonyesha njia za kuondoa Umaskini ndani ya chama sisikilizwi. Ila chawa akiongoa Ujinga Ujinga anaheshimika na kuonekana Bora kuliko watu wenye vision za kukuza Pato la Chama.
Tusome Kitabu Cha katiba ya CCM 1977 toleo 2022 uk 09-10 ibara 14(5).
Viongozi wanapaswa kuwa kwenye vyeo kwa lengo la kuwainua walio chini nao wawe na ustawi kimaisha .
Nyakati tulizomo Viongozi Baadhi wanapambana kuuwa vipaji vyenye vision wakiamini wanalinda vyeo vyao wawe watawala wa milele. NI hao hao Baadhi wanatoka hadharani kulalamika huku wakipoteza watu waliostahili kuwa na miafaka ya utatuzi wa keto wanazo zilalamikia.
Tusome Kitabu Cha kanuni za Umoja wa Wazazi wa Tanzania 1978 toleo 2022 uk 104 kifungu cha 04 ili kupata Ruksa ya kwenda kusoma Kitabu Cha katiba ya CCM 1977 toleo 2022 uk 153 kifungu Cha 02 kwa Uhalali wa kwenda kusoma Kitabu Cha kanuni za Uchaguzi wa CCM toleo la December 2022 uk viii- ix kifungu cha (vii) (1)- 02 Kinatueleza Uongozi Bora unaendelea kusisitizwa na kuzingatiwa na maandishi yafuatayo.
Kokote aliko mawazo na Juhudi ya kiongozi , fikra na kazi yake wakati wote lazima ziwe Mfano mwema na Bora wa utekelezaji wa Wajibu wake kwa Viongozi wenziwe na kwa watu wengine .Msingi wa Wajibu wa kiongozi lazima Daima utokane na imani ya kutumikia wananchi kwa dhati katika kuwasaidia na kuwaendeleza wainue Hali zao za maisha na kuzifanya zilingane. Mwisho wa kunukuu.
Tungefurahi kuona tokea Shina Tawi kata na Jimbo panakuwa na Mionekano sahihi ya kimaisha Bora Kama vile kulivyo Wilayani, Mkoani na Taifa. Akili ya kuweza kuchangia kuleta Mabadiliko ninayo. Niiteni tukae mezani tuongee.
Kidumu Chama Cha Mapinduzi
Mathias Mugerwa Kahinga