john mohammed
Member
- Mar 16, 2014
- 47
- 17
Kutokuwa na hamu ya kuto kula nenda Hospitali kapime Minyoo na unaweza kunywa chai ya Tangawizi itaweza kukusaidia kutibu hayo maradhi.kama ni dalili za ugonjwa ni upi na how to avoid it.Naombeni jibu
Nenda Hospitali ukapime watajuwa una maradhi gani mwilini mwako john mohammedna endapo hali hii itaambatana na mwasho wa tumbo kutakuwa na tatizo gani la ziada tumboni??na nini cha kufanya ili kuepuka na hali hii??