Kukosa hamu ya kula kwa mama mjamzito

Kukosa hamu ya kula kwa mama mjamzito

honeybae

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2016
Posts
339
Reaction score
456
Habari wakuu,

Mimi ni mjamzito wa wiki 24 kwa sasa naona kuna hali ambayo inanikuta sasa sijui ni kawaida au lah,Mimi nakosa hamu ya kula vitu vyote yani sina hamu ya kula chochote na kwa sababu nasikia njaa huwa nakula ilimradi siku ziende.

Je, hii hali ni ya kawaida kwa wajawazito au ni tatizo?

N.B hii ni mimba yangu ya kwanza

Natanguliza shukrani[emoji1545]
 
Back
Top Bottom