Pole sana kula vyakula kama nyanya chungu bamia na ndizi za kuchemsha kwa muda hata miezi mitatu. Simaniishi kila siku lakini angalau hata marambili ktk wiki. Utpata nyege na wakati wa kula tunda utakuwa unamwaga maji mengi ambayo yatakupelekea kufika kileleni pia
hio kali sasa kumbe na nyie mnakosaga hamu ya tendo mi nilijua ni kwa wala mmirungi au gomba
ok kwa hilo tatiizo nenda hospital ukiwa na mumeo ili madokta wakajua kuwa chanzo nini , kama ni uzee au madawa ya kulevya au attitude.
ukishindwa kumwona dokta kwa ajili ya aibu basi nunueni vitabu vya self help.
mwisho; je mumeo anajua kuwa unahilo tatizo.
Hakuna kitu anacho niboa na akinilazimisha sana nikikubali kushiriki tendo la ndoa naugua kweli nakua na hali za kuishiwa nguvu nahisi nazimia
utakua na majini mahaba,nenda kanisani kaombewe!
Nsha ombewa sana hadi mimi mwenyewe naomba lakini wapi, lakin nahisi ni hilo mana nkilala huwa naliwa uroda ndotoni na ham inasepa kabisa
Samahani mkuu, wewe ni @Padre?
wanawake kama wewe mumeo akitafuta wa kufanya naye huko nje ya ndoa utamuona malaya?
kuna mambo sisi wanaume tunakosa ndani ya ndoa amabayo kabla hatujaoa tulikuwa tunayapata.
_wengi wa wanawake waridhika sana wakishaolewa wanajua kula kunenepeana sana na akilala anajamba tu!
_siku akionja nje ndio utajua umuhimu wa kumpa mumeo sexy...
endelea kujifanya huna hamu
Dawa ya kupata hamu ya tendo la ndoa mimi ninayo nitafute kwa wakati wako bonyeza hapa.Mawasiliano ~ Mzizi MkavuNaombeni kujuzwa ivi kuna dawa ya kurudisha jam ya tendo la ndoa kwa wanawake, ndoa yangu iko hatiani ni mwanamke nimeolewa nimepoteza hamu ya tendo la ndoa kabisa ila mme wangu nampenda sana.
Uzuri sehemu nayoishi vyakula vikubwa ni ndizi, maharage nyanya chungu, bamia si sana lakin mimi nazipenda kwa mlenda huwa nakula sana
nikajua wewe ndo una tatizo bibie! lol..Ukiwa unampenda mtu nae hakuonyeshi upendo kila siku ni visa, hamu ya tendo la ndoa utaisikia kwa mangi. Sina hakika, ila mkirudisha ukaribu inaweza kuwasaidia zaidi kuliko juisi ya tende na maziwa. Spending time pamoja, kufanya mazoezi ama kula pamoja, mawasiliano thabiti kila wakati nazo zinasaidia.
just curious, yeye ana hamu na wewe?