Kukosa hedhi kunaweza kuharibu ngozi ya uso?

Kukosa hedhi kunaweza kuharibu ngozi ya uso?

Miss Curious

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2018
Posts
315
Reaction score
497
Naomba kujua kama mwanamke anayekosa hedhi kutokana na matumizi ya dawa za mpango kama pills au kijiti kunaweza kumsababishia mtu huyo kupata chunusi nyingi usoni, kukonda na ngozi ya uzo kuwa na spots yani mabaka mabaka?

Mana nimekuwa mwathirika wa mabaka usoni nimeshatumia kila dawa but sioni ahueni na inafika mpaka kipindi bila make up siwezi kwenda hata job.

Nisaidieni nijue kama ndivyo nitumie tu calendar japo najua ni ngumu.
 
BASHITE BASHITE DR SHIKA NABII TITO Mnaitwa Mje kuchangia Mada ya DADA YENU.
 
BASHITE BASHITE DR SHIKA NABII TITO Mnaitwa Mje kuchangia Mada ya DADA YENU.
Mkuu mbona unakuwa sio mstaarabu mtu kauliza kwa nidhani swala sensitive kama hili unaleta ushabiki wa kipuuzi are you doctor?
Kama wewe sio MD kaa kimya.
 
Una udungu na dr. Shika..
Naomba kujua kama mwanamke anayekosa hedhi kutokana na matumizi ya dawa za mpango kama pills au kijiti kunaweza kumsababishia mtu huyo kupata chunusi nyingi usoni, kukonda na ngozi ya uzo kuwa na spots yani mabaka mabaka?

Mana nimekuwa mwathirika wa mabaka usoni nimeshatumia kila dawa but sioni ahueni na inafika mpaka kipindi bila make up siwezi kwenda hata job.

Nisaidieni nijue kama ndivyo nitumie tu calendar japo najua ni ngumu.
 
Naomba kujua kama mwanamke anayekosa hedhi kutokana na matumizi ya dawa za mpango kama pills au kijiti kunaweza kumsababishia mtu huyo kupata chunusi nyingi usoni, kukonda na ngozi ya uzo kuwa na spots yani mabaka mabaka?

Mana nimekuwa mwathirika wa mabaka usoni nimeshatumia kila dawa but sioni ahueni na inafika mpaka kipindi bila make up siwezi kwenda hata job.

Nisaidieni nijue kama ndivyo nitumie tu calendar japo najua ni ngumu.
Subiri wajuvi wanakuja mpendwa
 
menorrhgia

Ni tatizo LA kutokwa na damu nyingi sana kuliko kiwango cha kawaida kwa mwanamke anapoingia hedhi.
Tatizo hili limekuwa likisababishwa na kutokuwa na usawa wa vichocheo mwilini ( hormones imbalance)
Dalili za ugonjwa huuu ni kama ifuatavyo
1. Kutokwa na damu nyingi sana kila anapoingia hedhi

2. Kutokwa na mabonge mabonge wakati wa hedhi.

3. Maumivu makali ya tumbo
Kama una tatizo lolote kuhusu hedhi tafadhari tembelea Gluck online clinic kwa ushauri zaidi bure au piga Simu nambari 0742706740
Hii dawa yako ni kinyume cha ugonjwa wa mgonjwa wetu Mkuu.
 
contraceptive drugs zinaeza zikabadili menes flow pamoja na regularity yake but kutokwa na chunus bado haijawa approved scientifically na leterature yoyote iliyo toa hiyo concern yamabaka mabaka due to pills

Sasa kaka shida inaweza kuwa nini na sikuwa na tatizo hilo ila baada ya kujifungua na kuamua kutumia contraceptives ndio imeanza na nimeshatumia dawa nyingi sana za asili na kizungu but sioni ahueni zaidi ya kuzimaliza but after sometime zinarudi tena!
Nimewaza kuachana na contraceptive kwani hata afya yangu inadhoofu tofauti na nilivyokuwa na mbaya zaidi madaktari wanaficha ukweli juu ya contraceptives wakati zina changamoto kibao.
 
tatizo unaloeleza haliendani sana na matumizi ya hivyo vitu.
Ni vyema tu kuonana na mtaalamu wa ngozi. Pia madawa mnayotumia kama vipodozi, vikikukataa lazima utahisi sababu ni vitu vingine kumbe sio.
Nikupe pole, achana na vipodozi vikali, onana na daktari, tumia vitu natural, kula vizuri kundoka na na hiyo hali ya kukondeana maana haisababishwi na vijiti wa pills
 
Back
Top Bottom