Miss Curious
JF-Expert Member
- Jan 16, 2018
- 315
- 497
Mkuu mbona unakuwa sio mstaarabu mtu kauliza kwa nidhani swala sensitive kama hili unaleta ushabiki wa kipuuzi are you doctor?BASHITE BASHITE DR SHIKA NABII TITO Mnaitwa Mje kuchangia Mada ya DADA YENU.
Naomba kujua kama mwanamke anayekosa hedhi kutokana na matumizi ya dawa za mpango kama pills au kijiti kunaweza kumsababishia mtu huyo kupata chunusi nyingi usoni, kukonda na ngozi ya uzo kuwa na spots yani mabaka mabaka?
Mana nimekuwa mwathirika wa mabaka usoni nimeshatumia kila dawa but sioni ahueni na inafika mpaka kipindi bila make up siwezi kwenda hata job.
Nisaidieni nijue kama ndivyo nitumie tu calendar japo najua ni ngumu.
Subiri wajuvi wanakuja mpendwaNaomba kujua kama mwanamke anayekosa hedhi kutokana na matumizi ya dawa za mpango kama pills au kijiti kunaweza kumsababishia mtu huyo kupata chunusi nyingi usoni, kukonda na ngozi ya uzo kuwa na spots yani mabaka mabaka?
Mana nimekuwa mwathirika wa mabaka usoni nimeshatumia kila dawa but sioni ahueni na inafika mpaka kipindi bila make up siwezi kwenda hata job.
Nisaidieni nijue kama ndivyo nitumie tu calendar japo najua ni ngumu.
Hii dawa yako ni kinyume cha ugonjwa wa mgonjwa wetu Mkuu.menorrhgia
Ni tatizo LA kutokwa na damu nyingi sana kuliko kiwango cha kawaida kwa mwanamke anapoingia hedhi.
Tatizo hili limekuwa likisababishwa na kutokuwa na usawa wa vichocheo mwilini ( hormones imbalance)
Dalili za ugonjwa huuu ni kama ifuatavyo
1. Kutokwa na damu nyingi sana kila anapoingia hedhi
2. Kutokwa na mabonge mabonge wakati wa hedhi.
3. Maumivu makali ya tumbo
Kama una tatizo lolote kuhusu hedhi tafadhari tembelea Gluck online clinic kwa ushauri zaidi bure au piga Simu nambari 0742706740
Soma tena maelezo yake kwa utulivu.yeye anasubuliwa na nini nimpatie msaada haraka
Mkuu hawa jamaa wanazingua kwakweli. Yani mtu kajieleza tena kwa lugha inayoeleweka lakini majibu ya mtaalamu anayotoa ni tofauti kabisaHii dawa yako ni kinyume cha ugonjwa wa mgonjwa wetu Mkuu.
Kuwa serious kidogo mkuu.yeye anasubuliwa na nini nimpatie msaada haraka
contraceptive drugs zinaeza zikabadili menes flow pamoja na regularity yake but kutokwa na chunus bado haijawa approved scientifically na leterature yoyote iliyo toa hiyo concern yamabaka mabaka due to pills
Kama kusoma maelezo ameshindwa , sasa mgonjwa sianaweza kufa kwenye mikono ya huyu doctor.Soma tena maelezo yake kwa utulivu.
Kwahiyo kalenda imekushinda kabisa..?