Mimi nishakata tamaa kumdai ila bado sijamsameheAsante mkuu. Mimi huyu mdeni wangu mmoja mpaka rb nimemkatia anaitwa polisi haendi. Ila week hii atajifunza.
Kumbe unafaa kunikopesha.....Mimi nishakata tamaa kumdai ila bado sijamsamehe
Najisikia kuumwa sio kuumwa. Nasikia baridi, koo limekua kavu, najaribu kulala usingizi hauji, najisikia kama nikae chini nilie halafu nikiwaza kuna watu nawadai hela zangu na mpango wa kunipa hata 100 hawana natamani ningekua na nguvu niwakamate niwapige. Niombeeni na mimi leo mipango yangu ya hela ikae sawa maana mnaweza nipoteza hii hali ikidumu kwa siku mbili tu.
Hahahahahaaaaa.Kumbe unafaa kunikopesha.....
Wiki ijayo nitakutafuta unikopeshe [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Wanakera sana watu wa hivi, wamenifanya nijifunze kutokopesha mtu hata awe na shida ganiAsante mkuu. Mimi huyu mdeni wangu mmoja mpaka rb nimemkatia anaitwa polisi haendi. Ila week hii atajifunza.
Sawa Nitafute....Najisikia kuumwa sio kuumwa. Nasikia baridi, koo limekua kavu, najaribu kulala usingizi hauji, najisikia kama nikae chini nilie halafu nikiwaza kuna watu nawadai hela zangu na mpango wa kunipa hata 100 hawana natamani ningekua na nguvu niwakamate niwapige. Niombeeni na mimi leo mipango yangu ya hela ikae sawa maana mnaweza nipoteza hii hali ikidumu kwa siku mbili tu.
Kukosa hela hakuzoeleki mkuu. Hasa ule wakati una jambo unataka kulifanya na pesa hamna. Ameen mkuu ila sitaki wa kunikopesha naogopa sana madeniDuh!...siku hizi kukosa pesa ni suala la kawaida sana.
Mimi binafsi mwezi ulioisha hali yangu kifedha ilikuwa mbaya lkn namshukuru mungu tokea tarehe 24 mambo yangu yamerejea pale napopataka
Mungu akufanyie wepesi upate mtu akukopeshe hata kidogo naww
Kama huna hela unapata wapi nguvu za kutongoza. Hayo yote ni matatizo ya kukosa hela mkuuBora Wewe uliyekosa tu Hela Mkuu kwani mwenzako Mimi nimekosa Hela, Mbunye na hata Kipaji changu cha Kutongoza nacho siku hizi Kimetoweka kabisa kwenda Kusikojulikana hivyo mambo kuwa ' valuvalu ' tupu.