Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Please labda ujulishe Jinsia yako ili msaada uwe endelevu na wenye Manufaa zaidi kwa wengine pia
Jinsia yangu ni mwanamke au mdada,
Una msongo wa mawazo, kuna kipindi ukiwa peke yako hisia zinakuja? Je kuna tabia ya mwenzio inakukwaza, kipi kimekuvutia kwa huyo Mpenzi wako? jee ni Mjuzi wa Mambo ya Kugegeda au ndo wale panua Mkwaju uje, Jaribu kujiuliza haya Maswali yanahusika kwa 99% masuala hayo ya hisia
Habar jamvini, mimi tatizo langu kubwa ni cna hisia kabisaaa za kudo, hta tukicheza cheza dakika mbili hisia zinatoweka nabaki empty. Hii shida inanitesa nilienda kwa gyno mmoja akaniambia nijiandae mentally kabla ya tendo but still hola.
Kwass nipo mwenyewe tuu, hilo tatizo limenifanya nijipumzishe kwanza, hisia ni za mbali within a month ninaweza kuhis nikikaribia ovulation tuu, ikipita na yenyewe inakata
Pole sana kwa hayo Matatizo uliyokuwa nayo ukitaka Dawa mimi ninayo ya kuweza kukutibu na ukapona ukinihitaji mimi nikutibu bonyeza hapa.MawasilianoHabar jamvini, mimi tatizo langu kubwa ni cna hisia kabisaaa za kudo, hta tukicheza cheza dakika mbili hisia zinatoweka nabaki empty. Hii shida inanitesa nilienda kwa gyno mmoja akaniambia nijiandae mentally kabla ya tendo but still hola.