Kukosa hisia au hamu ya kudoo

chekx

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2014
Posts
591
Reaction score
343
Habar jamvini, mimi tatizo langu kubwa ni cna hisia kabisaaa za kudo, hta tukicheza cheza dakika mbili hisia zinatoweka nabaki empty. Hii shida inanitesa nilienda kwa gyno mmoja akaniambia nijiandae mentally kabla ya tendo but still hola.
 
Please labda ujulishe Jinsia yako ili msaada uwe endelevu na wenye Manufaa zaidi kwa wengine pia
 
Jinsia yangu ni mwanamke au mdada,

Una msongo wa mawazo, kuna kipindi ukiwa peke yako hisia zinakuja? Je kuna tabia ya mwenzio inakukwaza, kipi kimekuvutia kwa huyo Mpenzi wako? jee ni Mjuzi wa Mambo ya Kugegeda au ndo wale panua Mkwaju uje, Jaribu kujiuliza haya Maswali yanahusika kwa 99% masuala hayo ya hisia
 
Kwass nipo mwenyewe tuu, hilo tatizo limenifanya nijipumzishe kwanza, hisia ni za mbali within a month ninaweza kuhis nikikaribia ovulation tuu, ikipita na yenyewe inakata
 
Habar jamvini, mimi tatizo langu kubwa ni cna hisia kabisaaa za kudo, hta tukicheza cheza dakika mbili hisia zinatoweka nabaki empty. Hii shida inanitesa nilienda kwa gyno mmoja akaniambia nijiandae mentally kabla ya tendo but still hola.

Kwa ajili umesema ulienda kwa gyno naona wewe ni KE. Sasa kuna njia nyingi za kupandisha ashki yako ambazo ni:

1. Mwenzio (ME) akikupa oral stimulation (kama atataka) ya muda mrefu na sio ile ya "mla" mara moja tu, halafu anataka kuingia kazini. Hii inasaidia sana kuwaleta wakina mama kwenye kiwango ambacho nae atafika kileleni katika muda mfupi sisi wakina baba tunaotumia (I don't know - 2 minutes if we are that long?)

2. Kuna hizi jels (kama KY) ambazo ni hususan kwa wakina mama. Kazi yake ni kukupa stimulation (muwasho) - sawa na au karibu na oral stimulation - na kwa kuwa unajipaka mwenyewe utajua ni wakati gani uko tayari.

3. Kuna hiki kitu kipya kilichokuja juzi - Viagra ya wadada - inaitwa EDDYI. Wanasema hiki kidonge ukikimeza basi baada ya muda mchache tu unashikwa na mahanjamu kuliko ulivyokuwa unayapata ulipokuwa miaka 12,13,14. Unakuwa uko tayari kuachilia kila kitu huru.

TAHADHARI!! Hii dawa ndio imeingia tu sokoni, nasikia ina madhara mengi mabaya. Kama tiba namba 1 na 2 hazifai basi zungumza na daktari wako kwanza uone kama tiba namba 3 ni muafaka kwako.

Kama ukiniuliza mimi, nisingekushauri utumie tiba hii namba 3 mpaka tuone wangapi WAMEKUFA KWANZA. - Sikutishi lakini sitaki wewe uwe mhanga wa haya makampuni ya madawa.

Disclaimer:
Mimi sio daktari wa binadamu. Haya niliyotoa hapa ni maoni yangu ya mitaani tu.
 
Kwass nipo mwenyewe tuu, hilo tatizo limenifanya nijipumzishe kwanza, hisia ni za mbali within a month ninaweza kuhis nikikaribia ovulation tuu, ikipita na yenyewe inakata

Oky, hilo inawezekana ni tatizo la upungufu wa Hormones au kuwa Mbali na vyanzo sahihi vya hisia. Kama uko serious ni Pm mawasiliano yako tuangalie namna bora ya kukabiliana na changamoto hiyo
 
Habar jamvini, mimi tatizo langu kubwa ni cna hisia kabisaaa za kudo, hta tukicheza cheza dakika mbili hisia zinatoweka nabaki empty. Hii shida inanitesa nilienda kwa gyno mmoja akaniambia nijiandae mentally kabla ya tendo but still hola.
Pole sana kwa hayo Matatizo uliyokuwa nayo ukitaka Dawa mimi ninayo ya kuweza kukutibu na ukapona ukinihitaji mimi nikutibu bonyeza hapa.Mawasiliano
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…