Wakuu nimekaa tangu ijumaa kuu nikichungulia kama vile siamini kwamba JF ilikua likizo... i missed every inc and every second of those days... yes i was on holiday, but i really missed every bit of JF
Nilikumbuka mengi sana na hasa jinsi watu wanavyopost na kusaidia hata tusiyoomba ushauri
i missed everyone and i am glad to be back, i am just waiting for all the swings to be back with legends, uncles, the wise men and women, critical ideas and confusing minds to flow back again
this was more difficult than tiger wood kufumaniwa
duh
thanks my friend.. na mie nashukuru umehesabiwa kwenye phase II, tuwasubiri memba wengine mazee
Dah! Tiger Wood kufumaniwa ni cha mtoto ukilinganisha na kulikosa hili jikwaa kwa siku moja.Wakuu nimekaa tangu ijumaa kuu nikichungulia kama vile siamini kwamba JF ilikua likizo... i missed every inc and every second of those days... yes i was on holiday, but i really missed every bit of JF
Nilikumbuka mengi sana na hasa jinsi watu wanavyopost na kusaidia hata tusiyoomba ushauri
i missed everyone and i am glad to be back, i am just waiting for all the swings to be back with legends, uncles, the wise men and women, critical ideas and confusing minds to flow back again
this was more difficult than tiger wood kufumaniwa
duh
Preta
View Profile View Forum Posts Private Message View Blog Entries View Articles Add as Contact Send Email JF Premium Member
Join Date Sat Nov 2009
Location yaeda chini
Posts 1,141
Thanks 307
Thanked 459 Times in 309 Posts
Rep Power 23
PRETA HII AVATAR YAKO MPYA INANITIA MAJARIBUNI.............!!!!