Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Doly, kwanza nikupe pole kwa tatizo kama wewe ni muhusika. Tunapenda kufahamu mambo kadhaa toka kwako ili tuweze kukushauri ipasavyo:nINI CHANZO CHA KUWA NA MPANGILIO USIO RASMI KATK HEDHI?
nimekuuliza vipi umepata mtoto.
Doly, kwanza nikupe pole kwa tatizo kama wewe ni muhusika. Tunapenda kufahamu mambo kadhaa toka kwako ili tuweze kukushauri ipasavyo:
Umri wako?Tatizo lilianza lini? muda gani sasa umepita? Ulikuwa unatumia njia yoyote ya uzazi wa mpango? kama ndio tutajie? huo mpangilio wako wa siku ulikuwaje ikiwa na maana kabla ya tatizo ulikuwa unakwenda siku ngapi? unabadili mara ngapi asubuhi hadi jioni? inakuwa imelowana kiasi gani? na unarudia kuona tena siku baada ya muda gani? Sasa kubadilika mpangilio ukoje kwa sasa? Nisaidie kujibu haya maswali.... PIA unaweza kwenda kumwona daktari akaweza kukusikiliza na kukufanyia vipimo kulingana na maelezo yako
nina umri wa miaka 31, tatizo langu limeanza pindi tu navunja ungo nikimaanisha kwamba kwamara ya kwanza ilikuwa siku 2 nikakaa siku 14 nikapata tena kwa siku 7 na hali ikawa ni hiy mara nakaa hata miezi miwili then napata kwa siku kuni na zaidi. halafu ikafika kipindi nikawa nakaa miezi sita then napata kwa siku zaid iy thelathin mfululizo. na kuhusu suala la kubadili huwa linabadilika kutoka kipindi kimoja hadi kingine kwani kunawkati nabadili mara 2-3 kw kutwa moja lakini kipidi kingine huwa ni mabongomabonge kiasi kwamba inazidi idadi hiyo ya kubadili. na kihusu matumizi ya uzazi wa mpango cjawahi tumia labda tu kuna miezi mitatu fululizo nilitumia vidonge kwa ushauri wa daktari kama tiba nahali ilienda vizuri kwa kipindi hicho ila muda mwingi nilikuwa napata kichefuchefu na kukosahamu ya kula, baada ya hiyo iezi mitatu hali ilibaki kama kawaida ya kukosa mpangilio.
Haya ndiyniliyo nayo ndugu yangu. Natumai nitapata msaada

Doly, pole kwa tatizo lako.
Kifupi, afya ya uzazi ya akinamama ni changamoto inayohitaji ufuatialiaji na umakini
Pamoja na kumuona Daktari wa magonjwa ya akinamama, lakini pia nakushauri utumie bidhaa hizi zifuatazo:
1. Leonurus Sanitary Towel (Pad) wakati wa siku zako
2. Leonurus Pantiliners umalizapo siku zako
3. Female Reproductive Health Care Pills kwa ajili ya kusafisha kizazi chako na mfumo mzima wa uzazi ndani.
Bidhaa hizi zinatengenezwa na kampuni ya Anysee. Kwa Tanzania, duka lipo Kinondoni B na kila Jumamosi saa 6 mchana kunakuwa na mafunzo juu ya bidhaa hizo pamoja na shuhuda mbalimbali kutoka kwa Akinamama wanaozitumia.
Kwa maelezo zaidi, tuwasiliane kwa simu namba: 0713 366 473 au 0767 277 223
pia tembelea: www.anysee-africa.com
CHUKUA HATUA.
Mods muanzishe utaratibu wa watu kuwa wanalipia matangazo ya biasharaDoly, pole kwa tatizo lako.
Kifupi, afya ya uzazi ya akinamama ni changamoto inayohitaji ufuatialiaji na umakini
Pamoja na kumuona Daktari wa magonjwa ya akinamama, lakini pia nakushauri utumie bidhaa hizi zifuatazo:
1. Leonurus Sanitary Towel (Pad) wakati wa siku zako
2. Leonurus Pantiliners umalizapo siku zako
3. Female Reproductive Health Care Pills kwa ajili ya kusafisha kizazi chako na mfumo mzima wa uzazi ndani.
Bidhaa hizi zinatengenezwa na kampuni ya Anysee. Kwa Tanzania, duka lipo Kinondoni B na kila Jumamosi saa 6 mchana kunakuwa na mafunzo juu ya bidhaa hizo pamoja na shuhuda mbalimbali kutoka kwa Akinamama wanaozitumia.
Kwa maelezo zaidi, tuwasiliane kwa simu namba: 0713 366 473 au 0767 277 223
pia tembelea: www.anysee-africa.com
CHUKUA HATUA.
Nimekuelewa vyema, inaonekana ni muda mrefu upepita kama ni tangu umevunja ungo na umewahi kuonwa na daktari na kupewa vidonge. Kwa hili unahitaji kwenda kumwona dakatari, kwanza ufanyiwe vipimo, ikiwa ni pamoja na wingi wa damu kwani unatoka damu nyingi ni vymea kupima, kufanya ultrasound kuona hali ya kizazi kwa sasa.... Hivyo nenda hospitali, mungu akutangulie nakutakia mafanikio
Asante sana kwa maelezo mazuri.
Nitajitahidi kutumia bidhaa hizo na pia nitakupigia.
Nashukuru sana
Asante nashukuru kwa ushauri wako nitatendea kazi. Lakini nilishawahi kwenda hospitali hadi za rufaa ila wakanambia nina uzazi mwingi hivyo endapo nikipata mtoto haya yote yataisha, ikanilazimu niwe mpole hadi nilipotimiza miaka 25 nikapata ujauzito na hatimaye nikafankiwa kupata mtoto wa kiume 1. lakini hadi sasa tatizo ni lipo tu. Lakini nitaenda inadvance.
Asante Ubarikiwe sana kwa mchango wako mkubwa kwangu
doly
kama upo dar, nakukumbusha kesho jumamosi saa 6 mchana - saa 9 mchana, kuhudhuria semina/ darasa juu ya bidhaa za anysee i.e
1. Leonurus sanitary towel (pads)
2. Leonurus pantiliners
3. Female reproductive health care pills
semina inafanyika ofisini, kinondoni b. Semina hizi hufanyika kila jumamosi.
Wanajamvi wote kwa ujumla mnakaribishwa.
kwa taarifa zaidi piga: 0713 366 473 au 0767 277 223
karibuni
Asante kwa kunijali
tatizo ni 1 mimi sipo dar nipo mkoani, sijui hiyo semina nitaipataje.
Pole wa kukuchosha.
Doly,
Chukua hatua kwa kufanya mawasiliano. Sioni sababu ya kuendelea kuteseka ilhali ufumbuzi upo. Kawani unapatikana sehemu gani ya Tanzania mwenzetu! Mimi hupatikana Dodoma na Dar. Isije ukawa upo Dodoma! Kikubwa ni kujua ulipo na kuona namna ya kusaidiana.