Rare Sapphire
JF-Expert Member
- Jul 24, 2021
- 590
- 1,648
Kiukweli kunatuadhiri kwakiasi kikubwa kwani kunafanya huingizi chochote katika maishaWakuu,
Tunajua "Upungufu wa Umeme" bado upo, na ratiba inafuatwa vilivyo!
Wengi wetu shughuli za kutupa michuzi ziko mchana na kwa kiasi kikubwa zinategemea umeme. Hii inafanya kukosekana kwa umeme kwa siku nzima kutupa hasara kubwa na kwa namna fulani kuturudisha nyuma kwenye harakati zetu.
Kwako vipi, kukosekana kwa umeme kutwa nzima kunaathiri vipi harakati zako za kusaka michuzi?
Maelezoo yaliyopo mkuu n kwambaa ,kukatika Kwa umeme haikuwa sababu ya ukosefu wa mvua [emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787] alisikikaa nazan kiongozi mmoja akituambia wa Tz kupitiaa vyombo vya habari.Umeme usio wa uhakika ni kikwazo kikubwa katika kutekeleza shughuli za kiuchumi na za kijamii kwa taasisi na hata watu binafsi.
kwa mfaano. Mfanyabiashara mwenye salon hawezi kufanya kazi bila umeme, majumbani vyakula vinaharibika hovyo hovyo, mfugaji wa kuku kama hana mbadala vifaranga wanakufa kwa kukosa joto.
Kwa ujumla tunahitaji suluhisho la kudumu. Inashqngaza sana kwamba hapo nyuma tuliaminishwa umeme unakatwa kwa sababu ya kupungua kina cha maji kutokana na ukame. Wakati huu wa Mvua sijui Kuna maelezo yapi.
Sisi wenye gesti zetu tunakosa sana wateja lakini ndoa za watu hazipati kashikashi umeme ukikatika...Mkazi wa Kahama - Kagongwa
Mimi nina biashara ya Stationery na ili nifanye kazi zangu za hapa ofisin ni lazima pawepo na umeme. Kiukwel kukatika kwa umeme kunaniathiri pakubwa sana kiasi kwamba baadhi ya siku sipati hata ile mia kisa umeme. Sijajua ni kwa nini serikali imeshindwa kabisa kulitatua hii tatizo la mgao wa umeme
π¬π¬π¬π¬π¬ππππ
Ukweli Tatizo ilikuwa mvua. Sasa mvua imenyesha, ukweli ni kwamba mabwawa yamejaa matope...Maelezoo yaliyopo mkuu n kwambaa ,kukatika Kwa umeme haikuwa sababu ya ukosefu wa mvua [emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787] alisikikaa nazan kiongozi mmoja akituambia wa Tz kupitiaa vyombo vya habari.
Habar hyo ipo uku km sikosei.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kidumu ya nyokoo ...Ukweli Tatizo ilikuwa mvua. Sasa mvua imenyesha, ukweli ni kwamba mabwawa yamejaa matope...
Tunawaombeni watanzania muendeee kuwa na subira na msiache kutuamini...
Tanesco inawaangazia maisha
KIGUMU CHAMA CHA MAPINDUZI
CCM HOYEEEEE
Me mwenyewe January nataka nifunge back up maana hii kitu ni kero kubwa....Hao jamaa mwaka jana walinipa stress sana, ikabidi nitumie karibia m kufunga backup. Mwaka huu sina habari nao, wakate sawa wasikate sawa!