ween JF-Expert Member Joined Jul 20, 2016 Posts 414 Reaction score 129 May 11, 2017 #1 Wakuu heshima yenu kwanza ....... Mm napenda kujua nn chanzo cha kukosa usingizi ukiachilia mbali ntu kuwa na stress/mawazo mengi Je madhara yake ni yap? Na tiba yake nn? Maana hta mmi ni muhangwa wa hili msaada wenu tafadhali.
Wakuu heshima yenu kwanza ....... Mm napenda kujua nn chanzo cha kukosa usingizi ukiachilia mbali ntu kuwa na stress/mawazo mengi Je madhara yake ni yap? Na tiba yake nn? Maana hta mmi ni muhangwa wa hili msaada wenu tafadhali.
Sky Eclat JF-Expert Member Joined Oct 17, 2012 Posts 57,761 Reaction score 216,011 May 11, 2017 #2 Hatari yake ni kuwa unaweza kulala mahali popote na ni mbaya sana kama unaendesha gari, unaweza kulala barabarani na kusababisha ajali mbaya.
Hatari yake ni kuwa unaweza kulala mahali popote na ni mbaya sana kama unaendesha gari, unaweza kulala barabarani na kusababisha ajali mbaya.