Jerry Rebiam
JF-Expert Member
- May 22, 2016
- 402
- 358
nlijua JoseverestUsijali kuna nafasi nyingine ya kuonyesha uzalendo.. Siro analalamika watu milioni 10 hawazitaki.. Ibukia Kibiti man ukamate hela
[emoji2] [emoji2]nlijua Joseverest
shukran kiongoziNimependa avatar yako
Pole, utasahau kidogo kidogo
Mambo ya mjin hayoSijaelewa hata mnaongelea kitu gani hapa
pole sana mkuu na alikuwa kapewa point nyingi kweli
Nimeumizwa sana
Asanteni Taifa Stars saiz hata mkikutana na Germany ntawapa ushindi
Endelea kushiriki zamu yako itafika tuu.[/QUOTEI
yahitaji moyo