Evari77
JF-Expert Member
- Apr 25, 2015
- 665
- 674
Nionavyo mimi miaka yote ya uchaguzi vyama hivi vimekuwa na kasumba ya kusubilia wagombea wazuri waliokatwa CCM hivyo kuwa mtaji mzuri wa kuwapatia vitu, Lakini mwaka huu imekuwa tofauti sana.
Pili wakongwe kupigwa sababu kubwa ni mwamko mdogo wa vijana kupiga kula. Kupinga kila kitu na hivyo wananchi kuacha kuwachagua nk. Hivyo ni vizuri wajifunze kuwa karibu na wanainchi na kuwaletea maendeleo.
Kwa mtazamo wangu kama kweli ni wanasiasa tutaendelea kuona mchango wao kwa taifa hata kama wamekosa Ubunge.