Kukosekana kwa Haji Manara ni hasara kwa mpira wetu

Kukosekana kwa Haji Manara ni hasara kwa mpira wetu

Mr bons

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2018
Posts
1,309
Reaction score
1,489
Yaani kukosekana Haji Manara kwenye mpira ni hasara, yaani utadhani kesho hakuna mechi. Kweli Manara alikuwa na amsha amsha.

Nani kama Manara? TFF mfungulie mtu huyu.

1666434166050.png
 
Yaani kukosekana Haji Manara kwenye mpira ni hasara, yaani utadhani kesho hakuna mechi. Kweli Manara alikuwa na amsha amsha.

Nani kama Manara? TFF mfungulie mtu huyu.

Wajinga nchi hii wanaongezeka ,jitahidi watoto wako wale ngano,zabibu na komamanga na vingine vinavyosaidia akili .Wewe tayari haukunjiki utavunjika
 
Mapovu bado ongezeni speed manara ni vyombo habari vya mpira wa epl
 
Back
Top Bottom