Albinoomweusi
JF-Expert Member
- Oct 28, 2016
- 3,433
- 8,585
Leo Usiku nilipata Dharura ya Kuuguliwa na Mke wangu majira ya saa 6 usiku ikabidi nimkimbize hospitali ya Nunge kisha hapo Tukapewa Rufaa kuelekea Hospitali Ya Mkoa wa Morogoro
Baada ya Kuwepo kwa nusu saa kwenye Jengo la mapokezi na Dharura ambalo ni jipya na zuri umeme ukakatika, basi ndugu zanguni ni saa nzima saa imepita tupo gizani madaktari wanatumia Tochi za Simu kuhudumia wagonjwa....
Najiuliza kama hali iko hivi Mkoani Vipi vijijini
Hii ni aibu kwa mkoa na wizara ya afya.