Albinoomweusi
JF-Expert Member
- Oct 28, 2016
- 3,433
- 8,585
Unanibishia mie niliekuepo hapo kwa masaa matatu bila umemeJenereta lipo tena sio moja yapo mengi mkuu labda kuna hitilafu ya umeme
Moja lipo hapo karibu na mapokezi kwenye mbavu za maabara jingine lipo usawa wa mochwari na laundry
Mama Hana BayaTunamshukuru mama Samia kwa hili
MkuuUnanibishia mie niliekuepo hapo kwa masaa matatu bila umeme
Nazungumzia Jengo jipya karibu na Mochwary na kuna mtu nilikuwa nae anasema yeye si mara ya kwanza kukumbwa na giza hapo kule kqenye maward ndipo gereta ipo
Kumbe walisha jenga jengo jingine la mapokezi karibu na mochwari? Nisamehe mkuuUnanibishia mie niliekuepo hapo kwa masaa matatu bila umeme
Nazungumzia Jengo jipya karibu na Mochwary na kuna mtu nilikuwa nae anasema yeye si mara ya kwanza kukumbwa na giza hapo kule kqenye maward ndipo gereta ipo