Kukosekana kwa Katiba Mpya alaumiwe Hayati Magufuli

Uki sahihi.
 

Ukweli mchungu:

Hayupo mwenye kuridhia Katiba Mpya kwenye Mitano yake ya Mwanzo

Si JK, JPM, Samia wala Mwinyi.
 

Naunga mkono bandiko hili lililosheni ukweli mtupu.
 
katiba mpya si lazima,bali ni lazima kwa chadema,nyie chadema endeleeni kuipigia debe maana ndo itakayowapa uongozi mkidhani.
 
Alipohutubia bunge kwa mara ya kwanza baada ya kuapishwa alisema ataendeleza mchakato wa katiba pale ulipoishia.
Kilomita zote alizotembea kwenye kampeni hakuongelea kuhusu katiba. Kwahiyo alikuwa na haki kuachana na katiba
 
Achana na hii tabia ya kulaumu mpaka marehemu aliyekwisha kuzikwa mwaka mmoja uliopita. Laumu hawa waliopo sasa kina Samia na Kikwete.

Achana na hii tabia ya kumlaumu asiyeweza kujitetea kwepa adhabu ya Mungu. Jikite kuwashambulia walio hai.
 
Hapa tunaongea na inaonekana Raisi (mtu mmoja) ndio mwenye uwezo wa kutupa katiba mpya, uwezo wa huyu mtu mmoja ni moja ya sababu kubwa Katiba mpya inahitajika
 
Mtu kawaachia nchi yenu bado mnapambana nae tu, mnapambana na kivuli? Fanyeni mnavyotaka nchi si ipo chini yenu
 
Hapa tunaongea na inaonekana Raisi (mtu mmoja) ndio mwenye uwezo wa kutupa katiba mpya, uwezo wa huyu mtu mmoja ni moja ya sababu kubwa Katiba mpya inahitajika

Huyo mmoja hawezi kutoa katiba mpya bila kushinikizwa kweli kweli. Ndipo vicious circle lilipo.
 
Same ambavyo mama anaachana na ujinga wa Meko sababu hakusema atajenga yeye.

Labda twende namna hii ndio utaelewa hauna akili bali mavi yamekujaa unakosa kufikiria sahihi

Kwani mama analeta katiba [emoji1787][emoji1787][emoji1787] kawapa ahadi ma chadema?!
 
Alianzisha mchakato mchakato na kuufungia kabatini wala halaumiwi...[emoji1787][emoji1787]
JK alikua ana uwezo wa kutupa katiba mpya long before ht uchaguzi wa Nov 2015...the fact kua aliuacha njiani ht aliemfuatia asingeufanyia kazi, tofauti na JK aliekua mnafiki kwa kutupiga danadana JPM alisema wazi kua hata ufanyia kazi(inaonekana watanzania tunapenda kufanyiwa unafiki kuliko kuambiwa ukweli)
Now yupo Samia nae kasema hana mpango nao, mbona yy hamumpi Lawama?
Kwani Marehemu aliwafanya nn mpaka kila lililo baya mnapa yy?
Kifupi kabita sio kipaumbele cha ccm, ht aje nani pale katiba mpya haitawahi kupatikana.
Na ht hao upinzani siku wakishika usukani wakapata neema za Ikulu ht wao hawatabadilisha io katiba, keep that in your skull.
 
Tubaki palepale Kila mtu ana kipaumbele chake..

Sasa vipi hatuandamani kudai katiba.. maana gaidi yupo huru
 
 
Na Makonda aliyempiga hamza kanuni mzee Warioba...
 
Usijitungie maswali kweli mtihani na kuyajibu. Tunaongelea katiba mpya. Bado Jiwe anazuia katiba mpya? Anayezuia katiba mpya kwa sasa ni Samia. Full stop. Anatumia kila njia (nyingine za kitoto kabisa) ili kuzuia katiba mpya.

Nikija kwenye maswali yako uliyojitungia, unaamini kuna mtu anaweza kuua upinzani? Sana sana atakufa yeye.
Matatizo aliyo yaasisi bado yapo, aliua upinzani, uchaguzi fake ,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…