MIMI BABA YENU
JF-Expert Member
- Mar 1, 2019
- 305
- 728
Jimbo la Singida Mashariki CHADEMA lashindwa kufanya uchaguzi kutokana na kushindwa kutumia misingi ya Demokrasia.
Uchaguzi huo ulipangwa kufanyika leo, kutokana na vurugu zilizojitokeza wameshindwa kuendelea.
Chadema inashindwa kuwatendea haki wanachama wake, Je itaweza kuwatendea haki Watanzania milioni 65?
#KataaWahuni