Ndio watawatendea haki kwakuwa kila mtu aliyeko Chadema anajua kuhoji siyo kondoo kama wa CCM. Tuambie Kuna sababu ya kutoa fomu Moja mwaka 2025?
Kikundi cha watu wachache hawazidi 1000 wamewashika masikio Wana ccm tz nzima. Walisema fomu Moja kondoo wanainama ndiyo. Makamu mwenyekiti atakkuwa fulani kondoo wanainama ndiyo boss.
CCM huruma. Halafu asilimia kubwa ya wafuasi wa ccm ni wasio na elimu inayozidi darasa la 7 na wazee wengine ambao hawajasoma kabisa. Kwahiyo wasomi wachache walioko chamani mnawaendesha sana.