Wabunge wangapi wamekatwa na wangapi wamebaki?Haupo sensible,
Unajua kabisa wabunge wamekatwa na tume halafu unaongea hivi.
Hii nchi haiwezi kusonga mbele ikiwa wananchi wataendelea kuwa wafia matumbo yao kiasi hiki.
kitu ya sultani hiyoOngezea na hii Pisi ya kule Momba View attachment 1575488
Hujasikia kuwa safari hii hatumuachii Mungu? Mkileta figisu zenu za kuweka ugoko sisi tunaweka chuma, haki lazima pombe imwagweKama mnajua uchaguzi sio huru na haki, sasa mnafanya kampeni za nini??
CCM haijaribiwiHujasikia kuwa safari hii hatumuachii Mungu? Mkileta figisu zenu za kuweka ugoko sisi tunaweka chuma, haki lazima pombe imwagwe
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Sasa ibeni kura uone, mwaka huu lazima utafute kazi nyingineCCM haijaribiwi
Wananchi wanaongeaMwaka 2010 na 2015 Chadema ilifanikiwa kupata wagombea ubunge wengi ambao ni ingizo jipya.
Mwaka huu sijasikia kamanda mpya anayetajwatajwa kujiunga na Chadema na kugombea ubunge.
Kwa upande wa CCM wapo wagombea wengi wenye influence na ni damu mpya itakayoleta chachu ya majadiliano bungeni.
Mkapa na MagufuliMlimgalagaza wenje? Yaani bada ya kuiba kura na kushinda kwa gap ya kura elfu 2 ndio kumgaragaza? Acha utani wewe. Kama sio Mkapa hilo jimbo mngelisikia kwenye bomba.
Mwaka 2010 na 2015 Chadema ilifanikiwa kupata wagombea ubunge wengi ambao ni ingizo jipya.
Mwaka huu sijasikia kamanda mpya anayetajwatajwa kujiunga na Chadema na kugombea ubunge.
Kwa upande wa CCM wapo wagombea wengi wenye influence na ni damu mpya itakayoleta chachu ya majadiliano bungeni.
Hamuendi kujadili kitu bungeni Nyie wapuuzi tu.ndo maana mkiambiwa ukweli mnakimbilia TUME YA UCHAGUZI!Mwaka 2010 na 2015 Chadema ilifanikiwa kupata wagombea ubunge wengi ambao ni ingizo jipya.