Zak Malang
JF-Expert Member
- Dec 30, 2008
- 5,404
- 239
Ndugu wanaJF:
Uchaguzi wa mwaka kuna mapungufu makubwa kwa upande wa CCM -- kukosekana kwa mpiga debe wao mkubwa aliyekuwa BBC London Tido Mhando ambaye katika chaguzi za huko nyuma alikuwa akijishghulisha sana kufanya midahalo na kuendesha kura za maoni ili kuonyesha chama chake kinapeta -- au niseme sahihi -- kutoa njia kwa chama chake kishinde tu kwa vyovyote vile.
Mwaka huu yuko kwenye vyombo vya habari vya umma wa Tanzania, hivyo inamwia vigumu sana kufanya hivyo bila kuonekana kupendelea.
Mwaka huu yuko kwenye vyombo vya habari vya umma wa Tanzania, hivyo inamwia vigumu sana kufanya hivyo bila kuonekana kupendelea.
Mh maslahi yake kwanza.
ndugu wanajf:
Uchaguzi wa mwaka kuna mapungufu makubwa kwa upande wa ccm -- kukosekana kwa mpiga debe wao mkubwa aliyekuwa bbc london tido mhando ambaye katika chaguzi za huko nyuma alikuwa akijishghulisha sana kufanya midahalo na kuendesha kura za maoni ili kuonyesha chama chake kinapeta -- au niseme sahihi -- kutoa njia kwa chama chake kishinde tu kwa vyovyote vile.
Mwaka huu yuko kwenye vyombo vya habari vya umma wa tanzania, hivyo inamwia vigumu sana kufanya hivyo bila kuonekana kupendelea.
TIDO, ni mtu alikuwa na reputation nzuri lakini uroho na woga, yaani nidhamu ya woga umemfanya hata akifa watu wasimkumbuke kabisaa. Unajua ukifa katika usawa yaani palipo na ukweli unapasema na palipo na pasipo na ukweli unapasema ndio kufa kiume watu wanabaki kukukumbuka. Sasa ndo hivyo no respect to community