Soka Ndio Maisha Yangu
Member
- Nov 27, 2024
- 43
- 127
Kesho wana Yanga msipoteze muda wenu kuwa na matumaini kule Congo vs TP Mazembe.
Mgogoro ule uliokumba Simba miaka 3 nyuma umehamia Yanga.
Nimemsikiliza kwa umakini mkubwa babake Haji Manara, Sunday Manara akimlaumu sana Injinia Hersi na wenzake ndani ya Yanga.
Mzee Manara anamuona Hersi na wenzake wanajiona wana hela hivyo wana viburi na hawataki kushirikisha wenzao kuhusu mambo ya Yanga.
Mzee Manara analia sababu za Gamond kuondolewa ghafla halafu hapo hapo kesho kocha mjerumani mzee wa Gusa achia twende kwao anatua kufundisha Yanga
Mzee Manara analalamika Kwanini Sure Boy, Mkude hawachezi wakati wana uwezo.
Mzee Manara anapinga Israel Mwenda kusajiliwa Yanga akidai uwezo wake ni mdogo sana na hawezi kuwa msaada kwa Yanga
Ameongea mengi lakini kiufupi haridhishwi na uongozi wa Yanga unavyoendesha mambo ya timu, timu imekuwa Genge la watu wachache tu ambao wanaamua wapendavyo.
Simba na Yanga zinaendeshwa sana na Utamaduni, Wazee wala viongozi hawachezi lakini ukweli ni kuwa mshikamano ukikosekana ushindi haupatikani.
Ushindi wa timu hizi hautegemei sana uwezo wa kına Gamondi ndio maana wamemtema katika kipindi kigumu sana lakini wao wanajua ushindi unategemea sana nje kuliko utaalamu.
Kwa kukosekana Umoja na mshikamano na Kama mimi nadanganya kesho Yanga akishinda kule Congo msiniamini tena na nichukuliwe Kama Kibaka tu