Kuku aina ya Bukini

Mama Timmy afadhali umenitoa kimaso maso kwa kusema wapo na kutoa sifa za kuku hao. Je, unawafahamu wafugaji wa kuku hao?
 
Mama Timmy afadhali umenitoa kimaso maso kwa kusema wapo na kutoa sifa za kuku hao. Je, unawafahamu wafugaji wa kuku hao?
Kiukweli wafugaji wake siwafahamu ila unaweza ukawakuta katiba kundi la kuku wa kienyeji.kwakuwa sifa zake unazijua basi utaweza kumtofautisha na wengine kana unavyomtofautisha kuchi,kinyavu,kishingo,chotara,n.k
 
wakuu hiyo aina ya kuku kweli IPO nami nilikuwa mgumu kukubali ila nimepata kitabu ambacho kinataja aina hiyo
 

Attachments

  • 2019-02-22 16.22.54.jpg
    107.5 KB · Views: 37
  • 2019-02-22 16.22.14.jpg
    115.6 KB · Views: 40
  • 2019-02-22 16.23.34.jpg
    127.2 KB · Views: 43
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…