Kuku aina ya kuroiler from India

Acha upuuzi, sina muda wakupoteza kuanza kukupa mchanganuo
Sasa unafikiri mtu anaetaka kuingia hii biashara ataingia kichwa kichwa kisa umesema kuku mmoja 10,000/-? Muwe mnajipanga sio mnaokota mawazo ya watu mitandaoni mnaleta kwenye majukwaa mengine nusu nusu. Eti huna muda wa kupoteza, mbona umepoteza muda kuleta kitu nusu nusu?
 
Wakuu naomba update kuhusu kuku. Mayai yaliyokuwa fertilized yanapatikana wapi?
 
Unaagizaje kuku hao kutoka India wakati wanapatikana Ke4nya na Uganda?
 
Mkuu
 
Ww umeagiza parent cross(f0) au f1

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…