Kuku aina ya SASSO wakiwa na siku 52

Mbeya mjini japo wenye mashamba ya kuku wapo ileje
 
Naombeni namba za nzowa nipate kujua kwa mbeya nawapata wapi pia nisaidieni bei ya kifaranga ni ngapi?
 
Naombeni namba za nzowa nipate kujua kwa mbeya nawapata wapi pia nisaidieni bei ya kifaranga ni ngapi?
Mkuu mi nipo mbeya nahitaji kuanza kufuga kuku wa mayai, naomba kama una utaalamu au kuna sehemu naweza kupata elimu kabla sijaanza unielekeze nifike nikajifunze kitu, nitashukuru sana
 
pole sana hawa watu waliwahi kunifanyia hivyo, nilinunua kuku 100 nikawambia waniwekee majogoo kumi tu, walikuwa na umri mwezi mmoja, yaani nusu yote waliweka majogoo
 
Wadau kuku wazuri wa mayai ni aina gani ukiwatoa hawa Sasso ambao wamekuja ndivyo sivyo?
 
Kuku wazuri in kuroila WA India 1 hawaugui hovyo
2 wanataga kwa mda mrefu
 
Fuata kanuni zote za ufugaji bora utawapenda hawa kuku usisahau wape chakula cha silver land
Mkuu chakula cha silverlands ni mkasi sana huku mwanza ni 80,000 kipakage cha kilo hamsini. Na nitawapa chakula hiki mpaka wafikie muda gani au mpaka wakati wa mauzo?
 
Mkuu umewahi kufuga Kuroiler pia? Wakoje? Kwa Tanzania wanapatikana wapi?
 
Sasso Ni Kuku Wazuri, Tena Kutoka Nzua enterprises Tegeta, Mimi Nimenunua Hapo Ingawa Nilipata Shida Za Vifo Lakini Ni Wazuri Na Ukufuga Kwa Lengo Utafanikiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…