Kuku aina ya sasso wanauzwa

Kuku aina ya sasso wanauzwa

Kukutz

New Member
Joined
Jun 3, 2022
Posts
2
Reaction score
2
SASSO WANA MIEZI MITATU NA WIKI MMOJA.

WAPO 40

BEI 12,000/=

WANAFAA KWA NYAMA NA KUFUGA

BAGAMOYO ZINGA KWA MTORO


CALL 0788682714
IMG_20220603_091029.jpg
IMG_20220603_091042.jpg
IMG_20220603_091038.jpg
 

Attachments

  • IMG_20220602_171458.jpg
    IMG_20220602_171458.jpg
    80.2 KB · Views: 31
Sasso wana miezi mitatu na wiki mmoja.

Wapo 40

Bei 12,000/=

Wanafaa kwa nyama na kufuga

Bagamoyo zinga kwa mtoro

CALL 0788682714

IMG_20220602_171454.jpg
 
shida ya hivi vidude vinajifanyaga sana vibabe haviogopi mtu
 
Khaaa!

Yaani 30k kifaranga, je mama yao sh ngapi?
Si bei ya bajaji wazeee!?

Huku ni ku wa overrate ndege wafugwao! Duh!!
 
Back
Top Bottom